as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
Huyo anakosea kusema makombo hakuna mwanamke makombo mshamba huyo
muulize yeye yule mama mtu mzima ni nani kwakwe??? au yeye kapata fresh pale hahahaha kweli anatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzake wakati yeye ndo kimenganda