Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

hahaaa wale team made in China mi huwa nahisi ni mazuzu 😂😂😂

sio unahisi ni mazuzu kweli af fata upepo tu ha ha ha kuna jimama moja huko insta ni teampwanyaroad juzi limenichekesha et limesema halimpendi dai coz kamuacha wema nikaliuliza wanjera alivomuacha dai akapewa BMW na mcongo naye ulimchukia et likajibu dah ila kweli....yan nlicheka
 

hahaaaa kweli ni mataahira
 
Sidhani Kama Wema anaumia. Nahisi kwake yeye ni Kama ule msemo usemao kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Yeye ndo kaacha, I believe alikuwa na plan yake. Hakuacha kiolelaolela.

Wema alisema amempa diamond likizo.....naona likizo imemgeukia yeye
 

inabidi uwe zuzu aka team panya road... walisema atahangaika kote lakini atamuoa wema kikowapi sasa?
 
Aisee Dai kajua kuziba watu midomo kila la kheri kwao tho I wish ka isiwe kweli ivi....lol
 
Wema nahisi kaumia balaaaa hhhaaa
Bora akiumia Wema ataeleweka na hata mimi nitamwelewa lakini maajabu ya dunia hii c ajabu kuna wana-JF hapa watakaoumia! Na ni bora basi wangekuwa ni mashabiki wa Wema... kuna kadha wa kadha waliokuwa wanapiga ramli na kuita hiyo ni drama inayochezwa na akina Ivan... yaani mtu anamtoa mke wake akamegwe hadi kupigwa mimba kwa ajili ya drama! Hawa wapiga ramli nao si ajabu ukakuta nao wanaumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…