Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Maneno kwa picha ya insta yanajieleza
Naona mamaa wa spotlight amesharepost status...kwanza alicomment;' wish I had the guts to say the same', mamaeee ***** mamaee! (Wanjeraaa!)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno kwa picha ya insta yanajieleza
Pwanya road waacheni waitwe pwanya kwa kweli.....yani wanatamani hata wampeleke mnadani madame wao!
hahaaa wale team made in China mi huwa nahisi ni mazuzu 😂😂😂
sio unahisi ni mazuzu kweli af fata upepo tu ha ha ha kuna jimama moja huko insta ni teampwanyaroad juzi limenichekesha et limesema halimpendi dai coz kamuacha wema nikaliuliza wanjera alivomuacha dai akapewa BMW na mcongo naye ulimchukia et likajibu dah ila kweli....yan nlicheka
Sidhani Kama Wema anaumia. Nahisi kwake yeye ni Kama ule msemo usemao kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Yeye ndo kaacha, I believe alikuwa na plan yake. Hakuacha kiolelaolela.
ha ha ha wampeleke mnadani kama mbuzi
Mambo ndo hayo
Kuna watu eti hadi leo wanaamini kwamba eti hizi ni drama za Ivan kwa kushirikiana na Zarinah... yaani eti mwanaume mzima mwenye akili zake akubali kumtoa mke wake akamegwe na mwanaume mwingine kwa ajili ya kutafuta sifa! Inabidi uwe mlevi ndipo mtu unaweza kuwa na imani kama hizo!
leo wanjera atakunya boga ha ha ha
Kuna watu eti hadi leo wanaamini kwamba eti hizi ni drama za Ivan kwa kushirikiana na Zarinah... yaani eti mwanaume mzima mwenye akili zake akubali kumtoa mke wake akamegwe na mwanaume mwingine kwa ajili ya kutafuta sifa! Inabidi uwe mlevi ndipo mtu unaweza kuwa na imani kama hizo!
leo wanjera atakunya boga ha ha ha
Wema alisema amempa diamond likizo.....naona likizo imemgeukia yeye
Wema nahisi kaumia balaaaa hhhaaa
Kwa hiyo ndoa tayari au???
Bora akiumia Wema ataeleweka na hata mimi nitamwelewa lakini maajabu ya dunia hii c ajabu kuna wana-JF hapa watakaoumia! Na ni bora basi wangekuwa ni mashabiki wa Wema... kuna kadha wa kadha waliokuwa wanapiga ramli na kuita hiyo ni drama inayochezwa na akina Ivan... yaani mtu anamtoa mke wake akamegwe hadi kupigwa mimba kwa ajili ya drama! Hawa wapiga ramli nao si ajabu ukakuta nao wanaumia...Wema nahisi kaumia balaaaa hhhaaa