miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ndoa na kiumbe tumboni?!
mmmmh!!! Au siku hizi wanaruhusu tu?
Mi bado nipo njia panda hata kwenye pitapita zangu nimesikia kuwa ile sio ndoa sijui ni idea gani ya Zari vile.
Nasubiri iwe confirmed maana mmmmh ni shiiiidah aisee!
Tutoe basi tongotongo miss strong?
Kwanini unakataa?
We unaamini kuwa ni ndoa??na diamond kweli afanye kimya kimya wakati tu akinyoa hata vhuzi anatangaza.
Haikuwa ndoa hyo labda kama ni photoshot kwa ajili ya gazeti o chochote
ni kwa neema tu......!
Ughonile gwangu......
ndaga fijo kalumbu gwa Igwe,.......uje ni isiku inunu nnkamu
Shoga tokea jana nasita kutoa best wishes naogopa nisije umbuka hapa mambo yakiwa siyo.
Ngoja niungane na wewe tusubiri iwe confirmed.