Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Ndoa na kiumbe tumboni?!
mmmmh!!! Au siku hizi wanaruhusu tu?

Mi bado nipo njia panda hata kwenye pitapita zangu nimesikia kuwa ile sio ndoa sijui ni idea gani ya Zari vile.

Nasubiri iwe confirmed maana mmmmh ni shiiiidah aisee!

Shoga tokea jana nasita kutoa best wishes naogopa nisije umbuka hapa mambo yakiwa siyo.
Ngoja niungane na wewe tusubiri iwe confirmed.
 
Tutoe basi tongotongo miss strong?
Kwanini unakataa?

We unaamini kuwa ni ndoa??na diamond kweli afanye kimya kimya wakati tu akinyoa hata vhuzi anatangaza.
Haikuwa ndoa hyo labda kama ni photoshot kwa ajili ya gazeti o chochote
 
Last edited by a moderator:
We unaamini kuwa ni ndoa??na diamond kweli afanye kimya kimya wakati tu akinyoa hata vhuzi anatangaza.
Haikuwa ndoa hyo labda kama ni photoshot kwa ajili ya gazeti o chochote

ni kwa neema tu......!
 
Huyo dai alivyo na sifa ajikute tu anafanya kimya kimya hiyo itakua promo ya show ya may 1 mlimani city, c alisema akioa itafanyika uwanja wa taifa?
 
Back
Top Bottom