Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Mke wa Mzungu

Member
Joined
May 28, 2014
Posts
45
Reaction score
28
Tarehe ya Ndoa ishapangwa. Ni tarehe 1 May 2015 pale Mlimani City.

attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1427827163.143350.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1427827163.143350.jpg
    58.3 KB · Views: 13,538
Vigelegele hongera zao.

Duh engagement ya kwanza ya Diamond. Waliopita walikuwa wanajivisha za pesa zao kutamani.
 
Vigelegele hongera zao.

Duh engagement ya kwanza ya Diamond. Waliopita walikuwa wanajivisha za pesa zao kutamani.

Me sidhani Kama walikuwa wanajivisha ila tuseme hawakuwa tayari Kuwa na Diamond, Yani ni kujishikiza tu. Sasa labda huyu itadunu maana jamaa nae hajaturia. Nani anataka kujishikiza pasipo uhakika. Ndomana mabinti walikuwa wanatoa mimba za Diamond.
 
Tangazo na sponsors juu wow huo ndio u celebrity.

Wako juu, le mutuz kajinyakulia na michuzi ya kutanua
 
Le mutuz ana kimbelembele. Ka chakarika anajua lazima apate chake hapo. Yeye na bibi Sinta ndo washenga katika hili.
Hivi ndoa ya Le mutuz na yule lawyer wake imeishia wapi?,maana siku hizi sione promo alizokuwa anazifanya ig na facebook
 
Le mutuz ni kichaa mno sasa abashangilia mwenzake kumpa mimba zari af yeye hata ya kusingiziwa hana kwa umri alio nao dooh! Empty
 
Back
Top Bottom