Mke wa Mzungu
Member
- May 28, 2014
- 45
- 28
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigelegele hongera zao.
Duh engagement ya kwanza ya Diamond. Waliopita walikuwa wanajivisha za pesa zao kutamani.
Hahahaaa Kwahiyo miss strong huamini? Mimi yangu macho tu bwana.Ha ha ha mpaka itokee maana drama as usual
Tangazo na sponsors juu wow huo ndio u celebrity.
Wako juu, le mutuz kajinyakulia na michuzi ya kutanua
Hahahaaa Kwahiyo miss strong huamini? Mimi yangu macho tu bwana.
Labda wako serious kweli.
Hivi ndoa ya Le mutuz na yule lawyer wake imeishia wapi?,maana siku hizi sione promo alizokuwa anazifanya ig na facebookLe mutuz ana kimbelembele. Ka chakarika anajua lazima apate chake hapo. Yeye na bibi Sinta ndo washenga katika hili.
Hahahaaa Kwahiyo miss strong huamini? Mimi yangu macho tu bwana.
Labda wako serious kweli.