babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Le Mutuz we lini yako na msomali wako wa babati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 239557. Tarehe ya Ndoa ishapangwa. Ni tarehe 1 May 2015 pale Mlimani City.
Le mutuz ni kichaa mno sasa abashangilia mwenzake kumpa mimba zari af yeye hata ya kusingiziwa hana kwa umri alio nao dooh! Empty
Is pregnant au She is Pregnant??Tarehe ya Ndoa ishapangwa. Ni tarehe 1 May 2015 pale Mlimani City.
![]()
Ivi waislam huwa wanafunga ndoa mwanamke akiwa na mimba? Si nasikia eti wamwoa na kiumbe wa tumboni au?
Is pregnant au She is Pregnant??
sijaelewa apo chini kuhusu issue ya wazamin??? kwamba hawez post kitu bila kudhaminiwa au?
ameshataja jina lake sasa 'she' ya nini tenaIs pregnant au She is Pregnant??