Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

diamond hili tukio la kuvalisha wanawake pete ni kawaida yake...kuoa sio hobby yake
 
Hee Mii nikajua ni show nyingine kama ile ya Diamonds are forever
 
Nikweli May 1 diamond anamvisha rasmi zari thebosslady Pete ya ndoa..engagement ring....cheki hapa chini kama mlikua hamfahamu..hawakuiweka wazi maana Diamond anataka kuwafanyia washabiki wake suprise kodoa macho hapa chini👇👇👇👇👇 zari anawasisitizia kabisa save the date for mlimani city
 

Attachments

  • 1427867685775.jpg
    1427867685775.jpg
    78.4 KB · Views: 1,300
Ivi waislam huwa wanafunga ndoa mwanamke akiwa na mimba? Si nasikia eti wamwoa na kiumbe wa tumboni au?
 
Mmh bora apate hata hiyo ya mwanawe maana uganda alibadili dini akawa mkristo akavalishwa na pete mwisho akaamua kuzaa na kuambulia ndoa ya kimila hivi vitu vya ndoa inabidi mtu utulie nakumbuka hapa kuna watu walisema domo hamuoi wema nimzee ataoa mtoto mbichi naona kweli kapata mtoto mbich wa 17 yrs
 
Ivi waislam huwa wanafunga ndoa mwanamke akiwa na mimba? Si nasikia eti wamwoa na kiumbe wa tumboni au?

Ha ha ha uasherati ndo unakatazwa kwanza.....maana mimba ni matunda ya tendo.Ingawa hata me nshawahi sikia ulichouliza.
 
Mama Wema roho kwatu akisikia Dai anaoa, alivyokuwa hapendi mwanae awe na Daimond au kuolewa na Daimond, mama wa ajabu yule anaendelea kupiga vigelegele mwanae kulala na waume za watu kisa hela, kweli kuna mambo kwenye hii dunia.
 
sijaelewa apo chini kuhusu issue ya wazamin??? kwamba hawez post kitu bila kudhaminiwa au?
 
Back
Top Bottom