Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
hakuna ndoa hapo mkuu...Hahahahahahahahahaaahah.....watu mna vimaneno,duuuhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna ndoa hapo mkuu...Hahahahahahahahahaaahah.....watu mna vimaneno,duuuhh
kwanini sasa anahangaika na revenge/mashindano kama haumii
Dai alienda Ug white part nae akatangaza kwenda kwa Chamelion
kajipenyeza wee kwa ivan, kutokuumia sio kweli hata ungekua ni wewe ungeumia mnoooo
hakuna ndoa hapo mkuu...
mchawi mtu..paka anatumwa tuWachawi buanaaa
Is pregnant au She is Pregnant??
I am Humbled!Kweli hii lugha ya malkia ilikuja kwa meli! Amesema Zarina hassani is pregnant we unaona amekosea wapi? Mwalimu wako alikufundisha kuweka noun na pronoun kwakufuatana? Seriously! !??
I am Humbled!
Hee Mii nikajua ni show nyingine kama ile ya Diamonds are forever
Hivi kweli watu wanasponsor huo umbea...mhhh Kama simuamini huyu lemutuz
Hivi kweli watu wanasponsor huo umbea...mhhh Kama simuamini huyu lemutuz
Shati la Le Mutuz llinafunika Starlet
Mwanaume kuandika hayo maneno aseee.....kumpapatikia mwanaume mwenzio kiasi hicho cha kumuita 'MY KING'.......Dah!!!!
yuko desperate naona anajiliwaza na idrissa
basi teampwanya road wanafurahiaje wakimuona.boss na wanaume ha ha ha
kuwe na sheria ukishavisha pete inakua ndoa tayari
basi teampwanya road wanafurahiaje wakimuona.boss na wanaume ha ha ha