Diamond ana degree ya uongo

Diamond ana degree ya uongo

maghambo619

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,537
Reaction score
1,360
Nilikua napitia insta status ya Diamond nikakutana na hiyo kitu, sasa ndio najiuliza hapa anamaanisha ukonga au United Kingdom?
Screenshot_20210723-073457.jpeg
 
Amehichafua mwenyewe, rejea picha ya kwenye thread!
We ukiandikiwa "IYO no.1 now in UK" Unaelewa nini?
Kwa kuwa umeshamchafua kwa kumuhukumu jambo usilolijua, je upo tayari kuwajibika kumsafisha? Ndio maana kunakuwa na sheria za mitandao kwa watu kama nyie.
 
Ndio mana mambo mengi ni kuungaunga,
Nilishangaa nilipomsikia Barnaba anasema yeye aliacha kufanya mtihani wa form4 ili awahi usahili THT, wakati aliishia standard vii

Wasanii wanaona akiwa mkweli atashusha hadhi yake kimuziki duuuh kweli Elimu inaumuhimu sana
 
Back
Top Bottom