Diamond ana degree ya uongo

Diamond ana degree ya uongo

Status ya uanze kuifanyia uchunguzi? Una muda mwingi kiasi gani?
Kabla ya kuleta habari chunguza, mfano ukiambiwa Rais kafumaniwa chunguza kwanza Rais gani, manake kuna Rais wa TFF,Chaneta nk.

Ulivyo sikia chart ungechunguza chart zipi hizo then ungefungua thread.
 
Status ya uanze kuifanyia uchunguzi? Una muda mwingi kiasi gani?
Saa huoni ulivyo kurupuka, bora hivyo kwa Diamomd sometimes inaweza tokea kwa watu wanao kuzunguka unaweza ukakiongea kitu kumbe kile ulicho kiongea kikaja kumuumiza mwenzako kihisia kwa kutokuchunguza kwako, sababu ulikiona ukakiongea ila hukua na uhakika.
 
Hakuna aliekurupuka, kuwa no.1 kwenye charts za BBC Swahili na kuwa no.1 kwenye Charts za UK ni vitu viwili tofauti
Saa huoni ulivyo kurupuka, bora hivyo sometimes ktk watu wanao kuzunguka unaweza ukakiongea kitu kumbe kile ulicho kiongea kikaja kumuumiza mwenzako kihisia kwa kutokuchunguza kwako, sababu ulikiona ukakiongea ila hukua na
 
BBC Swahili au BBC ipi?
Hata kwa hako ka tecno kako unaweza kufuatilia, huyo dogo Sadala ameshavuka hizo levels za kufurahia charts za BBC Swahili.
Umekuja na thread kabla ya ku verify, no research no rights to speak bro.
Hajadanganya kwani hii kitu nimeiona mwenyewe ila ni charts nadhani za Africa peke yake kwani number 2 ni nyimbo ya Burna Boy.
 
UK charts zinasoma hivi, huko UK anakotrend no.1 ni wapi?
Screenshot_20210723-073324.jpeg
 
THE LAST KICKS FROM A DYING HORSE...kosa kubwa alilolifanya Mondi kuna wakati muziki wa Naija ulishake badala ya kukaa nao mbali akajifanya rafiki yao...​

Back
Top Bottom