Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Jamaa alipotoa Jeje ikafanya vizur , akatoa waah ikafunika , nikajua atakuja na comeback ya maana , aisee mshikaji Katoa nyimbo za kisenge nafkr tangu aanze mziki....Sio kila aina ya mziki inakufaa , sometyme nyota yako ilipo ni Bora ukashikilia hapo hapo kuliko kutanga tanga .....!!!! Labda Kwa vile anatafta BETTHE LAST KICKS FROM A DYING HORSE...kosa kubwa alilolifanya Mondi kuna wakati muziki wa Naija ulishake badala ya kukaa nao mbali akajifanya rafiki yao...