Diamond ana ugomvi na vyombo vya habari?

Kwani lazima? Atalipwa na Mungu na si vyombo vya habari!
 
IPP na CMG hawapigi nyimbo zake,sembuse umuone kwenye taarifa ya habari?
 
Reactions: y-n
Hujaangalia TBC mkuu.mbona imerushwa??
 

Kwa akili hizi za kijana km ww nachelea kusema kweli ccm itatawala milele.
 
Wanajua WCB itatangaza. Lakini pia mkuu wa IPP alikuwepo, ITV hawajasema chochote? Wangefanya hivyo kwa ajili ya Boss wao kama tatizo ni Diamond.

Tusubirie kesho magazeti kama na yenyewe yatafuata mkumbo.
Kama nia yake ya dhati ilikua kusaidia watu, hatavunjika moyo kwa kutokutangazwa.
 
Azam ndio media kubwa sas na wameripot hao wengne wadgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…