serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima? Atalipwa na Mungu na si vyombo vya habari!Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu
Hujaangalia TBC mkuu.mbona imerushwa??Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu
Huyu jamaa mbona Ana hasira sana, ahahahhahahahahaahahahaha ugumu wa maisha usikuondolee busaraHivi shulee umeenda??? kwan kuna wangap wanatoa msaada na hawatangazwi au unataka kubinjuriwa na Mond
Live bila chengaMbona TBC wameonyesha
Hao IPP wanasubiri watarusha ya mzee Machache anakula chakula na walemavu na kugawa soda.IPP na CMG hawapigi nyimbo zake,sembuse umuone kwenye taarifa ya habari?
Lakini mke wa Mengi alikuwepo na katoa ahadi ya kujenga maktaba. Labda kwa sababu mke wa Mengi ni mkigoma mwenzake.IPP na CMG hawapigi nyimbo zake,sembuse umuone kwenye taarifa ya habari?
MaybeLakini mke wa Mengi alikuwepo na katoa ahadi ya kujenga maktaba. Labda kwa sababu mke wa Mengi ni mkigoma mwenzake.
Sijajua kama na yeye ni Mmanyema au ni Muha au Muhutu au MtusiMauMaybe
Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu
Asee... Hao kiboko.Nasikia freemason ndo wamesema atoe hivyo la sivyo watamkula wao. 😛😛
una chuki za kigashoBab kaegani si kaipost insta lakini?
😬😬😬Hao IPP wanasubiri watarusha ya mzee Machache anakula chakula na walemavu na kugawa soda.
Hapo chuki iko wapi?una chuki za kigasho