Diamond ana ugomvi na vyombo vya habari?

wewe umewezaje kuangalia TV zote izo kwa mda mmoja na kugundua hawajatangaza
 
Uwe unafanya hata research kidogo, usiandike kwa hisia/utashi. TBC wakati wa habari za michezo usiku wa tarehe 05.10.2018 walitangaza.
 
jamani naomba msilaumiane mimi mwenyewe nikiwa kama diamond nilikataa kutangazwa, watu niliowapa msaada watanitangaza inatosha, jililieni nyie na umaskin wenu msinililie mimi.
 
Nampongeza huyu kijana aendelee kuwa na moyo huo. Wapo wengi wana uwezo wa kusaidia watu ila wana mamioyo ya chuma. Kikwetu tunawaita "TUNGE KITALAGAJA LOYA". Mungu akuzidishie Diamond.
 
Nimeona Azam News habari hii
 
Ali Kiba ashatoa misaada lakini hataki show off kama huyu Mondi
 
Angekuwa mwanasiasa
Mwanasiasa hata akitoa vyandarua 50
 
Na wewe unaamini kuwa ni pesa zake, hivi unaijua siasa wewe, siku ukigundua kuwa ni namba 1 na Mkuu wa mkoa ndo walitoa hivyo vitu ndo utakapoelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…