Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unafanya hata research kidogo, usiandike kwa hisia/utashi. TBC wakati wa habari za michezo usiku wa tarehe 05.10.2018 walitangaza.Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu
Mbona make wa Mengi alikuwepo?IPP na CMG hawapigi nyimbo zake,sembuse umuone kwenye taarifa ya habari?
We mwamba upo......Mijitu iliyofutiwa matokeo ya std 7 ina hasira sana...
Nimeona Azam News habari hiiNimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu
Hadi jiwe umesifia,aiseee!inashangaza kwa kweli
Ndoa tabia yetu akifa tunamsifia sanatunasubiri afe tutoe taarifa.
Eee kila mtu si ana boss wake buana.Hao IPP wanasubiri watarusha ya mzee Machache anakula chakula na walemavu na kugawa soda.
We mwamba upo......
Angekuwa mwanasiasaNimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu
Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo