Diamond anahamasisha matendo ya laana

Diamond anahamasisha matendo ya laana

Kama unafanya matendo ya laana kwa vile eti umesikia wimbo wa Diamond basi ulikuwa na laana tangu mwanzo. Usitafute visingizio!
 
Ana account zake kwa mitandao ya kijamii, ingefaa ungelim-inbox apate kukupa ujumbe.
 
sasa la kuambiwa changanya na lako... akisema hivyo ndo kakushika kukwambia fanya....

ule ni wimbo. upo kwa ajil ya watu wote.. wengine kwao hiyo sodoma ndio starehe na jambo la maana...
wengine ni jambo baya..

chamsingi chukua maneno mazuri..mbaya achana nayo...

make me sing......mapela
Maneno mazuri yanapatikana ndani ya Quran, Bible etc
 
Kitandani sodoma" kiukweli hata mimi sikulifurahia hilo neno kwenye hyo line.
 
Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu

Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
Duh! Yan hata mimi nimebak mdomo wazi mpaka sasa hivi... Huwa najiuliza katika mistari yote ilie yani kabisa alikosa neno la kupachika pale? Nimesikitika sana...
 
Ni neno tu kama yalivyo mengine, wasodomaji utawajua tu, kazi ku tafsiri tafsiri vilivyopo vichwani mwenu.
Msiniambie kuwa Teckno alivyosema I'll take you to church to forget illuminat alimaanisha yule kuwa anayemuimbia ni illuminant au?
 
Back
Top Bottom