Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kama unafanya matendo ya laana kwa vile eti umesikia wimbo wa Diamond basi ulikuwa na laana tangu mwanzo. Usitafute visingizio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno mazuri yanapatikana ndani ya Quran, Bible etcsasa la kuambiwa changanya na lako... akisema hivyo ndo kakushika kukwambia fanya....
ule ni wimbo. upo kwa ajil ya watu wote.. wengine kwao hiyo sodoma ndio starehe na jambo la maana...
wengine ni jambo baya..
chamsingi chukua maneno mazuri..mbaya achana nayo...
make me sing......mapela
ndio msikilizee hizo hizi za sodoma mziacheeeManeno mazuri yanapatikana ndani Quran, Bible etc
Duh! Yan hata mimi nimebak mdomo wazi mpaka sasa hivi... Huwa najiuliza katika mistari yote ilie yani kabisa alikosa neno la kupachika pale? Nimesikitika sana...Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu
Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
Kwahiyo nawewe umehamasika?