IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Huyu msanii uwa najiuliza cipati majibu madensa,wasanii wake,maproducer,wapiga picha,wachumba,watoto wake,managers,bodyguard na familia yake yote famous.
Hii nguvu anaitoa wapi,mbaya zaidi ukiwa nae mbali umaarufu unapungua kwa kasi sana.
Leo hii km unafuatilia vizuri msanii akiingia bifu na mond anapaa juu km tihara.,bifu likifa au kufifia msanii husika anapotea mfano Alikiba.,kapotea.
Kuna pages nyingi za udaku IG zinashine kwa ajili ya kusupport au kuponda kazi za mond na familia yake.
Mwijaku ameanza kufahamika vema baada ya kumdiss mond..
Shilawadu kimyaaaaaaaaaa coz hawakavi stories za mond na familia yake ambazo ndio zilikipaisha kipindi.
Millard ayo ni moja ya waathirika wakuu,covers na stories za mond zilikuwa zinampa pesa sana YouTube trending zake ni kubwa lakini kwa sasa haonyeshi kitu chochote cha mond.
Hoja yangu ya msingi huyu bwana nguvu hii anaipata wapi?
Hata Rais wa nchi hawezi na hana influence km yake.