Diamond anaitoa wapi nguvu ya kuwafanya mastaa watu wake wote wa karibu?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Huyu msanii uwa najiuliza cipati majibu madensa,wasanii wake,maproducer,wapiga picha,wachumba,watoto wake,managers,bodyguard na familia yake yote famous.
Hii nguvu anaitoa wapi,mbaya zaidi ukiwa nae mbali umaarufu unapungua kwa kasi sana.

Leo hii km unafuatilia vizuri msanii akiingia bifu na mond anapaa juu km tihara.,bifu likifa au kufifia msanii husika anapotea mfano Alikiba.,kapotea.

Kuna pages nyingi za udaku IG zinashine kwa ajili ya kusupport au kuponda kazi za mond na familia yake.
Mwijaku ameanza kufahamika vema baada ya kumdiss mond..
Shilawadu kimyaaaaaaaaaa coz hawakavi stories za mond na familia yake ambazo ndio zilikipaisha kipindi.

Millard ayo ni moja ya waathirika wakuu,covers na stories za mond zilikuwa zinampa pesa sana YouTube trending zake ni kubwa lakini kwa sasa haonyeshi kitu chochote cha mond.
Hoja yangu ya msingi huyu bwana nguvu hii anaipata wapi?
Hata Rais wa nchi hawezi na hana influence km yake.
 
tv na magazeti ndio unaompa umaarufu ndio maana wenye magazeti hulipwa pesa na wasanii ili wawatangaze kwa jambo lolote ili watanzania milion 50 wawasome wao tu kila siku
 
Ila kweli Millard Ayo kadrop sana siku hizi,yan Dizzim online na Bongo 5 zina take over balaa
 
Sisi wengine kazi zetu ni 5:00am-7:00am daily huu mda wa kupumzika
Basi pumzika sio unaanza zungumzia maisha ya watu.. Bado sisi ni Masikini sasa mukianza upumbavu kama huu tunashindwa kuendelea mbele
 
tv na magazeti ndio unaompa umaarufu ndio maana wenye magazeti hulipwa pesa na wasanii ili wawatangaze kwa jambo lolote ili watanzania milion 50 wawasome wao tu kila siku
Unamaanisha watanzania 50M wanasoma magazeti!!!????
 
"" madensa,wasanii wake,maproducer,wapiga picha,wachumba,watoto wake,managers,bodyguard na familia yake yote famous. ""
Wote hao ni famous na unawajua,kijana uko vizuri.
Wengne hata jina lake halisi hatuljui zaidi ya diimond ,mshua dudu la yuyu sjui, you gat time
 
Back
Top Bottom