Diamond anajua kutafuta kwa udi na uvumba aah.

Mkuu walileta Uzi hapa kwamba katoa mamilion kwa waarabu inamaana alishindwa hata kushughurikia tatizo la mzee wake ukute matibabu hayazidi hata milioni 1
Sema huyo Ana Mungu wake wa Mafuvu anampa jeuri, Angekuwa anamuamudu Mungu wetu wa Mbingu na Ardhi sidhani Kama angekuwa anfanya HV, mzazi ni mzazi hata Kama alikosea Kama ameomba msamaha Hana budi kumsamehe na kusonga mbele, Alaf bila aibu ni mfuasi wa Mungu
 
Sijui siku akipewa taarifa kwamba baba yake amefariki kwa kukosa huduma na matibabu atajisikiaje wakati mitandaoni kila siku yeye na mashabiki zake wanampamba kwamba kijana ni bilionea?
 
Diamond ni wa kawaida sana. Sema yeye ni maarufu tu. Kuna vijana wengi wako vizuri kifedha kuliko Mond. Ila hawataki kiki.

Kweli mkuu sema huyu kiki huwa zinamsaidia mfano anapotaka kutoa nyimbo lazima atafatute kiki yangono na warembo wa mjini ili ngoma ifanye vizuri kwa nguvu ya kiki tofauti na vijana wengine wenye mtonyo huwa hawapendi huo upuuzi!
Uzi hauja sema ni Tajiri kuliko wote duniani , ume msifia tuu kuwa dogo ana struggle na katoka mbali.
Sasa ana make.
Na una msihi aendelee hivo hivo
*ni kweli walio mzidi wapo
 
Baba ni baba, kama yeye alishinda jikoni na mama yale akajazwa maneno akaamua kuingilia ugomvi wa baba na mama atajikuta yeye ndiyo analaumiwa kwa hali mbaya ya baba yake, mama hatolaumiwa kamwe.
kuna kaukweli hapo ila naona huyo mama nae alichangia kuweka chachu ili daimond amchukie baba yake. unajua wanawake wana vikwazo sana.
huyo mpenzi wa mama yake (baba mond) waliachana kwa chuki ndo maana hasira anayo mama yake hadi leo.


Mzee kwani hujui mapenzi tena au unanichora tuu?
 
mtoto wa kiume anapaswa kuwa na akili, ugomvi wa kimapenzi wa baba na mama yasimfanye awe kituko mbele ya jamii.
 
umaarufu wake ni kwamba alikua anakaa nyumba ya familia sa hvi anaish kwake na umaarufu mwengine kama alivyoeleza mwenye uzi wake hapo juu.... msaada zaid ingia google cheki jina ulilotajiwa then utapata picha mpaka ya mama yake.....
Umemhandle kila*za kistaarabu kweli

... Tehteh
 

Uchafu tu huo
 
Baba ni baba, kama yeye alishinda jikoni na mama yale akajazwa maneno akaamua kuingilia ugomvi wa baba na mama atajikuta yeye ndiyo analaumiwa kwa hali mbaya ya baba yake, mama hatolaumiwa kamwe.
Pitia magumu ya kutengwa na mzazi..
 
Diamond ni wa kawaida sana. Sema yeye ni maarufu tu. Kuna vijana wengi wako vizuri kifedha kuliko Mond. Ila hawataki kiki.

ndo life styles za celebrities, sio matajiri sana ila lazma waishi kitajiri ili kuji brand kwa washabiki wao na makampuni.

mayweather ana show off ya kitajiri zaidi ya bill gates lakini hamfikii hata theluthi. good thing kidogo walichokipata kwa juhudi zao tuwapongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…