Sidhani Kama itamuuma maana ingekuwa inamuuma angeshamtibia mzee wakeSijui siku akipewa taarifa kwamba baba yake amefariki kwa kukosa huduma na matibabu atajisikiaje wakati mitandaoni kila siku yeye na mashabiki zake wanampamba kwamba kijana ni bilionea?
Yule mama mswahili mpaka anapitiliza kwakwelikuna kaukweli hapo ila naona huyo mama nae alichangia kuweka chachu ili daimond amchukie baba yake. unajua wanawake wana vikwazo sana.
huyo mpenzi wa mama yake (baba mond) waliachana kwa chuki ndo maana hasira anayo mama yake hadi leo.
Mzee kwani hujui mapenzi tena au unanichora tuu?
Hahahaaa mbona mapovuuu vepe we ndo mbeba mikoba ya domo nn[emoji3] [emoji3] [emoji3] haya mahaba niueee yatawauaa kweliwivu tuu mshenzi wewe
nashukuru kwa kulitambua hilo. mwanamke akisema ukweli hakika ni furaha kwa mwanaumeYule mama mswahili mpaka anapitiliza kwakweli
mama mond kumbe alichepukaHapa mtu katukanwa kidtaarabu, ujumbe umefika lkn
Hujaiangalia hii video ndio maana unasema hivo,vipi bundle mgogoro ............maana KUICHEZA HIYO VIDEO NILIYOWEKA INATAKIWA UWE VIZURI MFUKONI NDIO MAANA MNAISHIA KU QUOTE BILA KUIANGALIA. WAKATI MIMI SALIO LANGU LINAWEZA KUANGALIA VIDEO HATA YA MASAA 5.daimond ana makosa makubwa sana yeye keshakua mtu mzima sasa anapaswa atambue kuwa baba yake hana makosa kabisa.
mwenye makosa ni huyo mama yake kwa sababu alimsaliti baba. yani mondi kalishwa pumba na mama yake hadi anajisahau aisee? ivi akiskia zari anapigwa bomba na mwanaume mwingine nje atajiskiaje?
anapaswa kufahamu hajatelekezwa bali mzee maji ya shingo yalimfika akaona hana jinsi akaondoka.
we sema unamuunga mkono kwa kitendo cha kumtupa baba yake wala huna lolote mpuuzi weweHujaiangalia hii video ndio maana unasema hivo,vipi bundle mgogoro ............maana KUICHEZA HIYO VIDEO NILIYOWEKA INATAKIWA UWE VIZURI MFUKONI NDIO MAANA MNAISHIA KU QUOTE BILA KUIANGALIA. WAKATI MIMI SALIO LANGU LINAWEZA KUANGALIA VIDEO HATA YA MASAA 5.
Kwahiyo kama mama mtu alkua anatembea na salum mtoto kahusikaje? Kikwel wanaume mkishakojoa hlf mkaachana na wanawake zenu hua hamfatilii mtoto kala kavaa kaenda shule au vp. Tena hua mnajiekea vichwan kua hatotoboa. Mungu sio abdala wala abdul mara mtoto anatoboa. Ndo baba anaanza misifa ooh yule mwanangu. Mara mwanangu kanitenga blahblah. Wakat alivyokua anashindia muhogo hukujua km mwanao. Wakat anahangaika na ada hukujua km mwanao. Ebu muachen mondi akiamua atamsaidia asipoamua asimsaidie hapat ata dhambi coz hana kosa hapo. Ni funzo kwa wanaume wote wanaokimbia mimba na watotombona baba mondi anasema sababu ya kuachana na mama ni wsababu mama alikua anatembea na salum kama sijakosea? fatilia hiyo visdeo hapo juu. na huyo salim hadi leo anamla mama mond mdogo mdogo.
Huna uwezo wa kuicheza hiyo video,ndio maana unaropoka tu.CHEZA HIYO VIDEO KAMA HUJAFUTA KAULI ZAKO HUMU.we sema unamuunga mkono kwa kitendo cha kumtupa baba yake wala huna lolote mpuuzi wewe
ivi wewe hata form umefika/umefaulu kweli? mimi nilisema sababu ya baba mondi kuvunja uhusiano ni pale alipogundua mkewe anachepuka na mtu anaeitwa salumu na mpaka sasa wanaishi pamoja/ndo anamla mama mondi.Kwahiyo kama mama mtu alkua anatembea na salum mtoto kahusikaje? Kikwel wanaume mkishakojoa hlf mkaachana na wanawake zenu hua hamfatilii mtoto kala kavaa kaenda shule au vp. Tena hua mnajiekea vichwan kua hatotoboa. Mungu sio abdala wala abdul mara mtoto anatoboa. Ndo baba anaanza misifa ooh yule mwanangu. Mara mwanangu kanitenga blahblah. Wakat alivyokua anashindia muhogo hukujua km mwanao. Wakat anahangaika na ada hukujua km mwanao. Ebu muachen mondi akiamua atamsaidia asipoamua asimsaidie hapat ata dhambi coz hana kosa hapo. Ni funzo kwa wanaume wote wanaokimbia mimba na watoto
wa wako ni mdogo nimeangalia video zote na kwa taarifa yako mimi huwa namtambua mtu kama yuko sahihi au muongo kwa maneno yake.Huna uwezo wa kuicheza hiyo video,ndio maana unaropoka tu.CHEZA HIYO VIDEO KAMA HUJAFUTA KAULI ZAKO HUMU.
kwanza kwani kwenye hizo video hapo kunasehemu huyo baba kasema anamchukia mwanae?Kwahiyo kama mama mtu alkua anatembea na salum mtoto kahusikaje? Kikwel wanaume mkishakojoa hlf mkaachana na wanawake zenu hua hamfatilii mtoto kala kavaa kaenda shule au vp. Tena hua mnajiekea vichwan kua hatotoboa. Mungu sio abdala wala abdul mara mtoto anatoboa. Ndo baba anaanza misifa ooh yule mwanangu. Mara mwanangu kanitenga blahblah. Wakat alivyokua anashindia muhogo hukujua km mwanao. Wakat anahangaika na ada hukujua km mwanao. Ebu muachen mondi akiamua atamsaidia asipoamua asimsaidie hapat ata dhambi coz hana kosa hapo. Ni funzo kwa wanaume wote wanaokimbia mimba na watoto
we ndo mjinga.Ujinga tu. Kufuatilia maisha ya watu.
we ndo mjinga.
hupendi tujifunze kwa waliofanikiwa
kwanza kwani kwenye hizo video hapo kunasehemu huyo baba kasema anamchukia mwanae?
au alisema mahusiano yalivunjika baada ya kumshtukia huyo mama anachepuka kwa salum?
ivi wewe hata form umefika/umefaulu kweli? mimi nilisema sababu ya baba mondi kuvunja uhusiano ni pale alipogundua mkewe anachepuka na mtu anaeitwa salumu na mpaka sasa wanaishi pamoja/ndo anamla mama mondi.
sasa kama mwanamke nimemfuma akitmbwa mimi nijilengeshe kwake kwa ajili gani?
Na nani kakuambia alimtelekeza mwanae/mondi? hakumtelekeza bali kuvunjika kwa mahusiano na mama yake ndiko kuliko weka umbali. na kasema anampenda mondi hawezi mchukia mwanae sababu ya tabia chafu za mama yake.
ndo maana nasema kama mondi ni mwanaume wa kweli amrudi baba yake na amtake radhi, amsaidie na kumpa sapoti ya kutosha sababu mwenye makosa ni mama yake.
yawezakuwa anajua hii ishu au hajui ila akija kutambua baadae baada ya Mungu kumchukua/kumpenda zaid baba yake ndio atatambua chozi la baba yake.
na kwa hizi video na habari za magazetini natambua atakua analifahamu hili jambo kama.
kama mwanaume sidhani kama utakubaliana na hali ya mkeo kutmbwa nje, mondi kama kidume kilichopevuka afanye maamuzi.
na shida inatokea kwa sababu mama yake keshamjaza upepo na kumuongopea baba yake alikua ni mtu mbaya sana, alimtelekeza na kumyanyasa kumbe sio, ndio maana kakomaa kwa mama yake. nyie wanawake ni washenzi sana, malipo ni hapa hapa duniani hata ukifa kwa kuishi maisha ya raha kumbuka kuna maisha baada ya kufa, huko mbinguni utaenda kujibu unafiki ulioufanya.
shame on her pamoja na wewe maana unadhirisha una moyo mchafu sana.
sijui hata sura yako ikoje, hivi wewe ni binadamu kweli?
Asante kwa kushukuru, yo welcome!nashukuru kwa kulitambua hilo. mwanamke akisema ukweli hakika ni furaha kwa mwanaume