Diamond anajua kutafuta kwa udi na uvumba aah.

Mrs Van Una hofu ya Mungu kweli, I mean umepitia mafundisho ya dini?? Naomba jibu then ndo niendelee
 
Huyu mama kwa kuchepuka tu hilo sikatai maani anaonekana
 
Work hard in silence but let your success make noise
hayo ni mawazo yako ila mimi naona ni bora kuyamwaga mambo tunayoyafikiria kichwani mwetu ili tuelimishane na kutoana ujinga sio mtu unakua selfish!
 
siwezi kushangaa kwa sababu nilijua tuu hutaelewa na japokua nilikua najitahid sana kukuelewesha lakin kutokana na akili yako finyu basi nadhani utafika chuo kikuu kwa ukilaza wako,
nakukumbusha tena sababu ya baba kuwa mbali na mwanae ni ishu ya kuchepuka kwa mama yake ndo wakaachana .
na kama unavyojua mitafaruku ikitokea basi kisheria mama hupaswa kukaa na mtoto ili amnyonyeshe hadi akue halafu akifikisha (miaka 13 nazaid anaweza kwenda kwa baba yake but im not sure nimeskia zamani sana pengine sheria zimebadilishwa).
watu wakiachana kwa chuki always mawasiliano huwa yanakata na hata yakiwepo hayawi mazuri. hii ndio sababu ya diamond kuongopewa na mama yake katelekezwa ningali mama ndio aliyesababisha yote hayo.
hapo usipoelewa tena jisunye mwenyewe, halafu kaendekeze biashara zako unazozitukuza hapa.
 
pia
siwezi kuwa ndugu yako maana wewe ni mtu wa ajabu sana. khaa
 
Kajifunze kuandika kwanza pia huwezi tambua umuhimu wa elimu sababu wewe ni kilaza na pia sababu ushaidharau elimu hutaweza ona umuhimu wake na badala yake utapiga domo refu tuu hapa halafu ukitoka hapa unaenda kufanya ujasiria mwili unaoutukuza hapa.

Halafu usinisumbue tena siwezi endelea jibizana na tahira
 
Huyu mama kwa kuchepuka tu hilo sikatai maani anaonekana
Kwa kweli nafarijika sana napoona watu wanakubali makosa yao. Wewe umebarikiwa best sio kama huyu mwanamke mwenzio naebishana nae hapa hata sijui katoka wapi kwenye huu uzi anabisha tuu na kutetea upuuzi wa mama daimond. Nimejiuliza sana je ingekua ndio huyu mwanamke naejibizana nae hapa yamemkumba angesema kweli? embu ona anavyomtetea malaya huyo mwenzie!
 

Hahaaaaa kati yangu na wewe tahira ni nani sasa. Unachekesha kweli tena mno. Utajisumbua mwenyewe na ndio nmeshakujibu. Na nmeshakwambia nmeishia la pili kwahyo unataka nini la ziada. Ata bakhresa hajafika sekondari lkn angalia kaajiri watu wangap. Adios looser
 
They say, waarabu wa Pemba...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo anajaribu kumtetea mwarabu mwenzie
 
Hofu ya Mungu inahusikaje hapo labda kwa mfano??
Wabongo bhana tatizo letu kujibu swali kwa kuuliza swali badala ya jibu, ngoja niende zangu mie uswahili siuwezi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kna p square wasikusifie wana wazim..gharama za kupga na colabo 2tatantaza madawati dar yote
 
Hata km wamepga video..
Main issue kwa my sidw ni miguu ina matatzo au la....mengne n km chumv kwny embe
 
Wabongo bhana tatizo letu kujibu swali kwa kuuliza swali badala ya jibu, ngoja niende zangu mie uswahili siuwezi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Achana nae aendelee kushikilia ufirauni wake siunajua tena kama ulivyosema waarabu wapemba wanafahamiana kwa vilemba so hamna jipya hapo.
 
mtoa huu uzi lazima ni mwanaume wa dar!
hamjasikika siku nyingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…