Diamond anajua kutafuta kwa udi na uvumba aah.

Diamond anajua kutafuta kwa udi na uvumba aah.

Kwahiyo kama mama mtu alkua anatembea na salum mtoto kahusikaje? Kikwel wanaume mkishakojoa hlf mkaachana na wanawake zenu hua hamfatilii mtoto kala kavaa kaenda shule au vp. Tena hua mnajiekea vichwan kua hatotoboa. Mungu sio abdala wala abdul mara mtoto anatoboa. Ndo baba anaanza misifa ooh yule mwanangu. Mara mwanangu kanitenga blahblah. Wakat alivyokua anashindia muhogo hukujua km mwanao. Wakat anahangaika na ada hukujua km mwanao. Ebu muachen mondi akiamua atamsaidia asipoamua asimsaidie hapat ata dhambi coz hana kosa hapo. Ni funzo kwa wanaume wote wanaokimbia mimba na watoto
Mrs Van Una hofu ya Mungu kweli, I mean umepitia mafundisho ya dini?? Naomba jibu then ndo niendelee
 
ivi wewe hata form umefika/umefaulu kweli? mimi nilisema sababu ya baba mondi kuvunja uhusiano ni pale alipogundua mkewe anachepuka na mtu anaeitwa salumu na mpaka sasa wanaishi pamoja/ndo anamla mama mondi.
sasa kama mwanamke nimemfuma akitmbwa mimi nijilengeshe kwake kwa ajili gani?
Na nani kakuambia alimtelekeza mwanae/mondi? hakumtelekeza bali kuvunjika kwa mahusiano na mama yake ndiko kuliko weka umbali. na kasema anampenda mondi hawezi mchukia mwanae sababu ya tabia chafu za mama yake.
ndo maana nasema kama mondi ni mwanaume wa kweli amrudi baba yake na amtake radhi, amsaidie na kumpa sapoti ya kutosha sababu mwenye makosa ni mama yake.
yawezakuwa anajua hii ishu au hajui ila akija kutambua baadae baada ya Mungu kumchukua/kumpenda zaid baba yake ndio atatambua chozi la baba yake.
na kwa hizi video na habari za magazetini natambua atakua analifahamu hili jambo kama.
kama mwanaume sidhani kama utakubaliana na hali ya mkeo kutmbwa nje, mondi kama kidume kilichopevuka afanye maamuzi.
na shida inatokea kwa sababu mama yake keshamjaza upepo na kumuongopea baba yake alikua ni mtu mbaya sana, alimtelekeza na kumyanyasa kumbe sio, ndio maana kakomaa kwa mama yake. nyie wanawake ni washenzi sana, malipo ni hapa hapa duniani hata ukifa kwa kuishi maisha ya raha kumbuka kuna maisha baada ya kufa, huko mbinguni utaenda kujibu unafiki ulioufanya.
shame on her pamoja na wewe maana unadhirisha una moyo mchafu sana.
sijui hata sura yako ikoje, hivi wewe ni binadamu kweli?
Huyu mama kwa kuchepuka tu hilo sikatai maani anaonekana
 
Work hard in silence but let your success make noise
hayo ni mawazo yako ila mimi naona ni bora kuyamwaga mambo tunayoyafikiria kichwani mwetu ili tuelimishane na kutoana ujinga sio mtu unakua selfish!
 
Sasa iyo insha yote ndugu wewe uliyefika form four mbona sijapata hata point mimi niliyeishia la pili. Aliyekwambia elimu ndio kujitambua ni nan? Shame on u too kusupport wanaume kutelekeza watoto hlf baadae mnakuja kulia lia mkiona wanenu wametusua. Fyuuuuuuuuuuuuu
siwezi kushangaa kwa sababu nilijua tuu hutaelewa na japokua nilikua najitahid sana kukuelewesha lakin kutokana na akili yako finyu basi nadhani utafika chuo kikuu kwa ukilaza wako,
nakukumbusha tena sababu ya baba kuwa mbali na mwanae ni ishu ya kuchepuka kwa mama yake ndo wakaachana .
na kama unavyojua mitafaruku ikitokea basi kisheria mama hupaswa kukaa na mtoto ili amnyonyeshe hadi akue halafu akifikisha (miaka 13 nazaid anaweza kwenda kwa baba yake but im not sure nimeskia zamani sana pengine sheria zimebadilishwa).
watu wakiachana kwa chuki always mawasiliano huwa yanakata na hata yakiwepo hayawi mazuri. hii ndio sababu ya diamond kuongopewa na mama yake katelekezwa ningali mama ndio aliyesababisha yote hayo.
hapo usipoelewa tena jisunye mwenyewe, halafu kaendekeze biashara zako unazozitukuza hapa.
 
pia
Sasa iyo insha yote ndugu wewe uliyefika form four mbona sijapata hata point mimi niliyeishia la pili. Aliyekwambia elimu ndio kujitambua ni nan? Shame on u too kusupport wanaume kutelekeza watoto hlf baadae mnakuja kulia lia mkiona wanenu wametusua. Fyuuuuuuuuuuuuu
siwezi kuwa ndugu yako maana wewe ni mtu wa ajabu sana. khaa
 
Sasa iyo insha yote ndugu wewe uliyefika form four mbona sijapata hata point mimi niliyeishia la pili. Aliyekwambia elimu ndio kujitambua ni nan? Shame on u too kusupport wanaume kutelekeza watoto hlf baadae mnakuja kulia lia mkiona wanenu wametusua. Fyuuuuuuuuuuuuu
Kajifunze kuandika kwanza pia huwezi tambua umuhimu wa elimu sababu wewe ni kilaza na pia sababu ushaidharau elimu hutaweza ona umuhimu wake na badala yake utapiga domo refu tuu hapa halafu ukitoka hapa unaenda kufanya ujasiria mwili unaoutukuza hapa.

Halafu usinisumbue tena siwezi endelea jibizana na tahira
 
Huyu mama kwa kuchepuka tu hilo sikatai maani anaonekana
Kwa kweli nafarijika sana napoona watu wanakubali makosa yao. Wewe umebarikiwa best sio kama huyu mwanamke mwenzio naebishana nae hapa hata sijui katoka wapi kwenye huu uzi anabisha tuu na kutetea upuuzi wa mama daimond. Nimejiuliza sana je ingekua ndio huyu mwanamke naejibizana nae hapa yamemkumba angesema kweli? embu ona anavyomtetea malaya huyo mwenzie!
 
Kajifunze kuandika kwanza pia huwezi tambua umuhimu wa elimu sababu wewe ni ****** na pia sababu ushaidharau elimu hutaweza ona umuhimu wake na badala yake utapiga domo refu tuu hapa halafu ukitoka hapa unaenda kufanya ujasiria mwili unaoutukuza hapa.

Halafu usinisumbue tena siwezi endelea jibizana na tahira

Hahaaaaa kati yangu na wewe tahira ni nani sasa. Unachekesha kweli tena mno. Utajisumbua mwenyewe na ndio nmeshakujibu. Na nmeshakwambia nmeishia la pili kwahyo unataka nini la ziada. Ata bakhresa hajafika sekondari lkn angalia kaajiri watu wangap. Adios looser
 
Kwa kweli nafarijika sana napoona watu wanakubali makosa yao. Wewe umebarikiwa best sio kama huyu mwanamke mwenzio naebishana nae hapa hata sijui katoka wapi kwenye huu uzi anabisha tuu na kutetea upuuzi wa mama daimond. Nimejiuliza sana je ingekua ndio huyu mwanamke naejibizana nae hapa yamemkumba angesema kweli? embu ona anavyomtetea malaya huyo mwenzie!
They say, waarabu wa Pemba...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo anajaribu kumtetea mwarabu mwenzie
 
View attachment 397359 Kwanza kabisa alipopata pesa na umaarufu akaanza kufwata na wasanii wa kike wa bongo wengi wao waigizaji, jamaa bila kupoteza mda akawatafuna wote naaminisha akawa akawa na uhisiano wa kimapenzi na wao siku mbili tatu yanaanza tena mahusiano mapya na mwanamke mwingine.
Ukimuuliza ilikuaje mahisiano yaliyopita atakwambia usaliti na sababu nyingine kibao kumbe wapi jamaa mjanja yeye alikua anahakikisha anapitia kila aina ya papuchi auridhishe moyo wake.

Aliwahi kutembea na wema sepetu, kidoti, jackline wolper, hawa, hamisa mobeto, penny na wanawake wengine kibao mtawaweka.

Baada ya kukamilisha ndoto yake akaamua kutumia busara na utashi wa hali ya juu akatafuta mwanamke ambae anajielewa na ni mtu mzima ataweza mpa challenge ili asiharibu na kweli akafanikiwa. Akamchukua zari the boss lady ambae ni mkubwa kwa diamond kwa miaka 9.
Wamezaa mtoto mmoja na pia kuna kijacho.

Huyu ndio naseb abdul bana a.k.a diamond platnum, domo, simba, chibu, sukari ya warembo na majina mengine kibao.
Kiukweli jamaa anafanya mambo yake kwa malengo na ana akili ya maisha na anajua kucheza na akili za watu na mzazingira.
Anajua watu gani wanataka kitu flani na ndio maana kwa asilimia kubwa kazi zake zinauza.

Pamoja na uchapakazi wote huu bila kusahamu mapungufu/madhambi yake (vitendo vya ngono) Daimon platmumz ni muumini mkubwa wa dini, kwenye mahojiano na post zake nyingi huwa anamtaja Mwenyezi-Mungu.

Heshima kwake, kabadilisha mziki wa tanzania na africa kwa ujumla hadi masta kibao kama p square na wengine wengi wamempa sifa kibao.

Pambana diamond ila nakushauri kitu kimoja usimalize pesa zako kwa magari ya kifahari bali wekeza, najua hunywi pombe, wewe ni mgumu hutoi pesa yako hivi hivi na hujiachii kwa malaya sababu ajuza Zari the boss lady kakushika haswa.
Kna p square wasikusifie wana wazim..gharama za kupga na colabo 2tatantaza madawati dar yote
 
Kwanza wewe umeongelea uhalisia wakati mimi nazungumzia wale ambao wao kila siku ni hoja zinazowakilisha chuki chuki chuki!!! Hao haters wanafahamika... wao siku zote ni kuongelea mabaya tu!! Kuna wengine hapa siku za nyuma ilikuwa utawasikia "jamaa mwenyewe ni mgumba!!!" We mwanaume kweli unashadadia ugumba wa mwanaume mwenzako hata kama ni kweli!!!! Lleo hii utasikia "yule mtoto si wake...!" Mwanaume huyo yaani anajua kabisa nani kampiga mimba Zari!!! Hao ni wale ambao kila siku wanaota kushuhudia downfall yake miaka inakatika sasa bado wanaendelea kuugulia maumivu manake jamaa yupo pale pale!!!

Ningekuwa mimi, ningeshaghairi!!

Ajabu ni kwamba, watu wenyewe wala hawaoneshi dalili kwamba ni watu wanaopita anamopita Diamond; sasa mtu unashangaa; chanzo cha husuda hii ni nini! Leo hii ikitokea mathalani Bell9 anakuwa na chuki na Diamond; I can understand kwamba inawezekana wana ugomvi wa maslahi kv wapo same industry! Sasa unapokuta mwanaume mzima ambae hana connection yoyote na Diamond lakini kila siku kazi yake ni kushadadia mabaya ya Diamond kv tu yaliandikwa na Shigongo; inatia ukakasi kwa kweli!!! Hakuna habari njema kwao kama hii:
View attachment 397481
View attachment 397483

Hapa huwa hawajiulizi hivi hawa waandishi wa Shigongo walifahamu fahamu vp kwamba Mzee Abdul anaenda studio ya Diamond hadi wakawahi kufika na kupata picha mujarabu kama hizi!! Hawana sababu ya kujiuliza kwa sababu, ni bora kwao kufanywa mazombi na Shigongo provided uzombi huo una-satisfy hinda inayowatawala!!!
Hata km wamepga video..
Main issue kwa my sidw ni miguu ina matatzo au la....mengne n km chumv kwny embe
 
Wabongo bhana tatizo letu kujibu swali kwa kuuliza swali badala ya jibu, ngoja niende zangu mie uswahili siuwezi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Achana nae aendelee kushikilia ufirauni wake siunajua tena kama ulivyosema waarabu wapemba wanafahamiana kwa vilemba so hamna jipya hapo.
 
mtoa huu uzi lazima ni mwanaume wa dar!
hamjasikika siku nyingi!
 
Back
Top Bottom