Bado swali langu liko palepale..
Huu wimbo umeuzid nini wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI.??
WaTZ ndo maana mziki wetu hauendlei,acheni ubinafsi,mtu flani akitoa wimbo ndo mnasema mzuri akitoa mwngne mpo kimyaaa..
Huyo nae anatafuta pakutokea.Nichek Friday night ya Sam misago kuna malalamiko kutoka kwa Msanii wababa (former BSS star) anasema huo wimbo ni wake ameutoa zaidi ya miaka minne iliyopita so Diamond kaiba.
Huu ni wimbo kwa ajili ya soko la Tanzania..Soon ataachia wimbo na Iyanya kwa ajili ya international market..
Huyo nae anatafuta pakutokea.
diamond anachekesha kwa mtindo huu hawezi kutoboa kimataifa kamwe mi nikajua atatoa kitu kama chop my money au alingo
poor management inakushauri vibaya mtv nominee unawaza kuwateka mashabiki wa mbagala na vingunguti haiwezi kua kweli labda naota
Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo by KDADDYCOOL - HulkShare
Wazee wa vigodoro hapa ametupatia kweli. Nasikia remix yake msaga sumu mzee wa naipenda simba na dogo mfaume ( kazi yangu ya dukanii) wameshirikishwa.
Sipati picha mrembo wema akicheza mchiriku kwenye kigodoro. Kwa mwendo huu haters watajificha maana masela wote lazima hawateke kwa mchiriku huu uzinduzi wa album tandikaaaa kwa masela disko vumbi.
dah itabidi arudi kule kule na idea zake lakini kwa hili mmmh!! kaboronga sana hapamfai na sio yule aliyezoeleka, utafkiri utafkiri underground... au ndo kamuiga DOGO S KIDE?