Diamond anakosea sana...

Kuna sehemu kasema alikuwa anaona aibu kuwa baba yake halisi muuza mchele ila alikuwa anampenda mzee Abdul sababu alikuwa myamwezi na ana magari, mwisho wa kumnukuu. Sasa mtu wa namna hiyo unamchukuliaje?

Hii sijaisikia kaisema wapi?Unayo link nikaone?
 
Hii sijaisikia kaisema wapi?Unayo link nikaone?
Yes nenda katika youtube mahojiano na the switch aliongea mengi na hili ni moja aliongelea. aliongea kama kusema unajuwa nilikuwa kijana na nilikuwa proud na mzee Abdu alikuwa mnyamwezi sana Kariakoo sasa japo niliambiwa mzee wake ni Nyange lakini sikutaka kuonekana kwa watu baba yako muuza mchele nilikuwa na mkubali sana mzee haya ndio aliyosema nitajaribu kama naweza kupata link
 
Hawana hakika baba ni nani hasa. Ndio maana mondi mwenyewe anazungumzia kufanana kama ndio kigezo. Wakati wana nzengo wanasema kafanana na Abdul.

Ila kinachoniudhi ni huyu Abdul kulialia na makanjanja kila siku. Kwa nini asifanye kazi? mambo haya yata ji sort with time. Nguvu bado anazo, tayari anajitabiria kifo! Kwamba afe yeye kwanza na mondi asimzike. Yaani ishu ya msaada kwake ni kufa na kupona!

Akipewa mike na kanjanja ishu ya kwanza ni kupata "sapota" (kama anavyopenda kusema). Kuna wakati alipewa 5m, hajawahi kui sema hata mara moja. Of course, 5m si kitu kwa mondi, ila na yeye Abdul ajifunze ku shukuru alichopata na kujua ha deal na mondi, ana deal na bi Sandra walieshindwana. Huyu mondi hawezi kukua na kufanya maamuzi mbele ya mama yake. Mama anaamua kila kitu mpaka aoe au asioe nk. Kwa hiyo Abdul nae awe na busara.
 
Sisemi haya kwa nia mbaya.....siku zote unapozaa ama kuwa na uhusiano na mwanamke changudoa lazima utapatwa na haya matatizo ya kuzaa mtoto tata kama Diamond. Mwisho wa siku mtoto naye anakuwa anahaha kama mama yake, mara leo yuko na mwanamke huyu kesho yuko na yule huku Mama akichekelea kuwa mtoto kachukua tabia yake kama afanyavyo Mama Diamond.
 
Yatamkuta
 
Mchaichai mix tangawise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…