Diamond anakosea sana...

Diamond anakosea sana...

Kwa jinsi huyo mama alivyozaa watoto wake, tena kwa miaka hiyo... si ajabu alikuwa kahaba maarufu sana.
 
Binafsi mimi pia najiuliuza, ina maana Mzee Abdul kakaa na huyo mama tangu Diamond mtoto mdogo mpaka amekuja kuachana naye Diamond yuko Form one hawakuwahi kuzaa kabisa ??
Wanawake wetu wa sasa wanazaa wakitaka kuzaa ,,
Asipotaka kuzaa hata umwagie ndoo nzima,
Bado hatopata mimba.
 
Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..

Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..

Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....

Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..

Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..

Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....

Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..

Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
Mkiambiwa msioe singo maza mnashupaza shingo
 
Alilolifanya mama yake Diamond ni aibu kwake. Kwanza ameamua kuitangazia dunia jinsi alivyokuwa bingwa wa kukitembeza.Anadhani kamkomoa Abdul ila ukweli naye kajianika.

Pili, kama aligundua si baba yake kwanini hajawahi badili jina la baba?

Tatu, sielewi nia ya huyo mama kuweka mambo ya ndoa yake hadharani. Na kama The Boss ulivyosema , sasa kwanini siku zote wamekuwa wakimlaumu abdul kwa kutelekeza familia na siyo Nyange.

Mi naona hii story ina mengi yaliyojificha ila with time mengi naona yataibuka. Kwa watu ambao wanaomjua mama yake Diamond na walikuwa karibu naye wanasema ni wale watu walikuwa wanajiuza. Kwahiyo si ajabu hata huyo mama akawa hana uhakika wa nani alimpa mimba. Kama ni kweli Abdul si baba yake Diamond, itakuwa alimbambikizia baada ya kushindwa kujua baba wa mtoto.
 
Kiongozi tuache hizo ndio contents za tv yetu ya waclean sasa tutapata wapi content
 
Aibu imeondoka kwa Kasi sana duniani. Mama anadhihirisha kuwa mtoto wake ni mwana zinaa!
Mama nimemtoa thamani kabisa.
Alafu Mdogo wangu diamond nakushauri,mpe ushauri mama aache kukuchonganisha na Mzee abudul Hugo ni babako pia.
Ukimfumania mamako yuko na mchepuko Vipi utalianzisha vagi au utamweshimu kama babako Mdogo.
 
You can move nyange family out of Tandale .

But Tandale still in their minds
 
Huyu Diamond akili hana, ukishakuwa kijana zaidi ya miaka 20 hutakiwi kuuingilia ugomvi wa wazazi kwa kuchagua upande, ni wakati wa kuwaunganisha au kuwaacha kama walivyo kwasababu hujui kisa kilichosababisha kutokea kilichotokea mpaka ukatokea mpasuka na kutelekezwa kama ilivyotokea.
Ona sasa unakuja kuambiwa kuwa huyo sio babako, je kama wewe ndio ulikuwa mimba ya kulazimishiwa/kushikiziwa kwa mzee wa watu mpaka akaamua kuitelekeza familia kwa ukicheche wa maza unajisikiaje?
Ugomvi wa baba na mama uliotokea tukiwa hatujui tukishindwa kuumaliza kwa wema tusiuingilie, tuuache kama ulivyo.
 
Back
Top Bottom