Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadai msaada Kama Deni!!! Kwani uchungu was mzazi nao upo?akikupa shukuru,asipokupa shukuru...hao wore waliotusomesha wangeshika bango Kama Abduli mbona tungekoma.Funguka zaidi,anakelele zipi hasa yule Mzee!?
Huyo mamaake diamond hajielewi au umaarufu na pesa vimempofusha kias kwamba kawa kiazi sanaaa sasa Diamond nae kawa kiazi zaid kwa kushikiwa akili na mamaake wakati ni mwanaume mtu mzimaNimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..
Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....
Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..
Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..
Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....
Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..
Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
HahahaaaKwa hiyo tumekubaliana diamond sio wa kigoma tena ni mpare
Huyo Mzee shida yake ni Chakula na matibabu tu,sizani Kama anadai Mambo ya hanasa Kama Magari ya kifahari kutoka kwa Mond!!?Anadai msaada Kama Deni!!! Kwani uchungu was mzazi nao upo?akikupa shukuru,asipokupa shukuru...hao wore waliotusomesha wangeshika bango Kama Abduli mbona tungekoma.
BTW una watoto4,Kila mmoja na mamaake!hiyo pia ni ila.
Mkuu mimi ni mwanamke mwenye 60+ katika kuishi kwangu nimeona matukio mengi sana ya kina mama wanapo gombana na wenza wao kazi kubwa wanayo fanya ni kuotesha chuki kati ya baba na watoto wake, hasa kipindi watoto wakiwa bado wadogo, kwa hivyo watoto wanajua baba ni mtu mbaya na asiyefaa!! Kwa hili, bi Sanura amefaulu, ila Nassib kama ana akili anatakiwa atambue kuwa mama yake ana walakin. Amtambue mama yake kama mwanamke mwenye ndimi mbili. Ulimi mmoja unatamka Abdul, na mwingine unatamka Nyange!!! Jambo la kuchekesha Abdul alitamkwa tangu akiwa mdogo, utu uzima anatamkwa Nyange!!!Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..
Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....
Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..
Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..
Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....
Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..
Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
Nikweli..aisee hii ya wazazi wakike kuwajaza chuki watoto...Anaweza akawa tu analalamika na kusema vibaya kuhusu baba kwa hisai zake... yaani anakulalamikia ili atoe dukuduku lake rohoni...but unachukia mamayako anavyolalamika unamuona baba yako mkosefu Sana...na Unamchukia..Mkuu mimi ni mwanamke mwenye 60+ katika kuishi kwangu nimeona matukio mengi sana ya kina mama wanapo gombana na wenza wao kazi kubwa wanayo fanya ni kuotesha chuki kati ya baba na watoto wake, hasa kipindi watoto wakiwa bado wadogo, kwa hivyo watoto wanajua baba ni mtu mbaya na asiyefaa!! Kwa hili, bi Sanura amefaulu, ila Nassib kama ana akili anatakiwa atambue kuwa mama yake ana walakin. Amtambue mama yake kama mwanamke mwenye ndimi mbili. Ulimi mmoja unatamka Abdul, na mwingine unatamka Nyange!!! Jambo la kuchekesha Abdul alitamkwa tangu akiwa mdogo, utu uzima anatamkwa Nyange!!!
Binafsi mimi pia najiuliuza, ina maana Mzee Abdul kakaa na huyo mama tangu Diamond mtoto mdogo mpaka amekuja kuachana naye Diamond yuko Form one hawakuwahi kuzaa kabisa ??Huyo mzee hakuwahi kupata mtoto wake wa damu? Na je,tuna hakika hakuwahi kumtenda jamaa alipokuwa mdogo kisa kamkuta/so damu yake? Ya Ngoswe!
Ningekuwa mimi ndio huyu mzee sichukui na wala sitaki shillingi, pesa sio kila kitu heshima bwana kumwita tu baba mtu anafurahi au kumpigia simu tu baba vipi hali sio kila kitu pesa na mbaya zaidi huyu mama kamfanya yule Queen Darlin kama sio mtoto tena ambaye amekuwa na Diamond wakijuwa ndugu baba mmoja kamtafutia ndugu mpya Momo. Mama mtu mbaya sana hafai hata bure.Huyo Mzee shida yake ni Chakula na matibabu tu,sizani Kama anadai Mambo ya hanasa Kama Magari ya kifahari kutoka kwa Mond!!?