Kwa hiyo mwaka huu Rais upande wa pili imekula kwao chama kitakacho simamisha wa upande wa pili.Ndiyo maana CCM ikakata jina la Makamba,Amina Salum.....?Likaweka JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.ukabila wa chadema ni wa kukemewa kwa ukali hata na watoto wadogo
Hata CCM pia wabaguzi sasa hivi ni time ya wakristo ndiyo maana Wamekata Jina la January Makamba na Amina Salum wakaweka JOHN MAGUFULI? Zamu ya Wakristo kuongoza nchi?Acha kujitoa ufahamu wewe. Shukuru na Umshukuru sana DIAMOND kwa kulisema hilo. Ni wakati wa CHADEMA kujirekebisha.
Tatizo hilo lipo na linaiangusha sana CHADEMA.
Ukweli daima ni MCHUNGU.
daimond kwa level aliyopo sasa hivi alitakiwa asiwe chini ya wale vichaa kina tale waropokaji wanaandika vijembe mipasho dogo kaiga na yeye
Kupitia account yake ya Instagram msanii nyota wa muziki wa bongo fleva nchini Diamondplatnumz amekanusha uvumi wa taarifa zinazosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba yeye anakihusisha chama cha CHADEMA na ukabila kuwa uongo na uzushi
Account inayoeneza habari hizo za Diamond ni account fake kutoka Facebook ambayo inatumia jina la diamondplatnumz.
Ikumbukwe pia Account ya Diamond ya Facebook iko verified na inakiti cha Blue na account iliyopost taarifa hiyo ya uongo haiko verified.
Kuna account kumi na saba huko facebook zinazotumia jina la Diamond ikiwemo hiyo inayoeneza taarifa za uzushi kuhusu ukabila!
Taarifa hizo sio sahihi na hazina ukweli wowote ule.
matumbo mzurimie Kim nana kedrick stressfree
Hebu nyinyi mnaolalamika ileteni jamvini tuone ubaya wake. Tatizo UKAWA mnataka kila mtu afikiri sawa na nyinyi
Akiwa tofauti mnaumiaaa sana.