Diamond analeta ukabila nchini

Diamond analeta ukabila nchini

ukabila wa chadema ni wa kukemewa kwa ukali hata na watoto wadogo
Kwa hiyo mwaka huu Rais upande wa pili imekula kwao chama kitakacho simamisha wa upande wa pili.Ndiyo maana CCM ikakata jina la Makamba,Amina Salum.....?Likaweka JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Ukanda na udini kweli upo daah.
 
Acha kujitoa ufahamu wewe. Shukuru na Umshukuru sana DIAMOND kwa kulisema hilo. Ni wakati wa CHADEMA kujirekebisha.

Tatizo hilo lipo na linaiangusha sana CHADEMA.

Ukweli daima ni MCHUNGU.
Hata CCM pia wabaguzi sasa hivi ni time ya wakristo ndiyo maana Wamekata Jina la January Makamba na Amina Salum wakaweka JOHN MAGUFULI? Zamu ya Wakristo kuongoza nchi?
UKANDA VS UDINI .
 
Ye mbona kachukua demu wa kiganda wakati dada zetu kawaacha nae tumwiteje
 
Leo unakubali kuwa DIAMOND yuko juu kwa kuwa uzi upo kwa ajili ya kumkosoa ila alipopewa U-ICON WA TAIFA ulisema hakustaili safi sana watz kwa unafiki.
daimond kwa level aliyopo sasa hivi alitakiwa asiwe chini ya wale vichaa kina tale waropokaji wanaandika vijembe mipasho dogo kaiga na yeye
 
Kupitia account yake ya Instagram msanii nyota wa muziki wa bongo fleva nchini Diamondplatnumz amekanusha uvumi wa taarifa zinazosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba yeye anakihusisha chama cha CHADEMA na ukabila kuwa uongo na uzushi

Account inayoeneza habari hizo za Diamond ni account fake kutoka Facebook ambayo inatumia jina la diamondplatnumz.
Ikumbukwe pia Account ya Diamond ya Facebook iko verified na inakiti cha Blue na account iliyopost taarifa hiyo ya uongo haiko verified.

Kuna account kumi na saba huko facebook zinazotumia jina la Diamond ikiwemo hiyo inayoeneza taarifa za uzushi kuhusu ukabila!

Taarifa hizo sio sahihi na hazina ukweli wowote ule.
matumbo mzurimie Kim nana kedrick stressfree

Yaani hawa watu wamejaa wivu nae wanajaribu kupitia kila kona, badala wajifunze kwake wapae wanalia lia kama ex madam karushwa insta screeshot za petito alivyolia kuhusu party ya Zari.

Tabu kubwa waliodakia habari hii ni wale waliokosa kuelewa nini ni nini katika social media wao wanaona jina mara simu imeregista jina kama la Diamond wanakimbilia kusema yeye hawapanui fikra kabisa kuju uongo iweje na mbona fb etc wanaonyesha alama hizo tiki ijulikane nani ni nani...tatizo wivu
 
Hebu nyinyi mnaolalamika ileteni jamvini tuone ubaya wake. Tatizo UKAWA mnataka kila mtu afikiri sawa na nyinyi
Akiwa tofauti mnaumiaaa sana.

Vipi kuhusu zile msg zilizokuwa zinatumwa kanda ya ziwa kuwa wamchague ngosha mwenzao magufuli.....huko sio kuleta ukabila?!
 
Acha unafiki. Wale wote mashabiki wa Kiba na maadui wa Mondi wapo UKAWA. Acha urongo dada.
 
Back
Top Bottom