chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
ndio mana lina domo kubwa kama sinia lakini akili ndogo kama kijiko na uanzia leo simpi kura yangu waka kushare posts zake bora angebaki kuiimbia ccm lakini sio kuingiza siasa za kichochezi na za kikabila kiasi hichi.
anasema watanzania tusigawe kwa uabila ni nani mkabila kati ya rizone na uvccm pwani waliosema rais hatoki kaskazini na hao wanaohama chama kwa utashi wao wenyewe bila kuvutwa na agenda yoyote ya ukabila?
kati ya wanaohama ccm kuna aliyesema watanzania tusiisapoti ccm kwa kuwa ni wakabila badala yake tuisapoti ukawa???
atutajie kiongozi yeyote aliyehama au kuchochea ukabila kama sio ccm ndio walitugawa kwa udini na ukabila.
hao wanaohamia ukawa wanatoka ccm kwahiyo ccm ndio ilikua ina ikabila zaidi kuliko ukawa sababu wanaohamia huko wanatokea ccm na wala sio ukawa.
domo kubwa kama choo cha kuflash.