Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Yaani hiyo Orodha inayoongozwa na Domondi wewe unaitilia maanani? Hebu tazama nyimbo zilizopo hapo na utajua kuwa kuna nyimbo nyingine ni expired. Domondi hana jipya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point kubwa sana mwenye kusikia kasikia.Wabongo kazi ni kudownload tu kutoka kwenye viblogu uchwara pamoja na utimu usiokuwa na support ya kweli (zaidi ya kutukanana hakuna kingine..)
Hongereni wakenya kwa kuonyesha support ya kweli.. Tuacheni sie wabongo na unafiki wetu..! [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaani hiyo Orodha inayoongozwa na Domondi wewe unaitilia maanani? Hebu tazama nyimbo zilizopo hapo na utajua kuwa kuna nyimbo nyingine ni expired. Domondi hana jipya!
Mkuu uchokozi umeanza lini?Wa seduzi namba ngapi?
Mtaongea yote mwaka huu.....mmeshikwa pabaya round hiiHyo ni kwa siku siyo kwa ujumla
Huwezi sema eti hello ya adele au all of me ya john legend iwe chini ya hallelujah
Mnapotoa taarifa muwe mnatoa taarifa iliyokamilika
Ninaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????
Toka ujiunge kwenye upuuzi wa hizi timu umepoteza kabisa uwezo wako wa kuchambua mambo...Yaani hiyo Orodha inayoongozwa na Domondi wewe unaitilia maanani? Hebu tazama nyimbo zilizopo hapo na utajua kuwa kuna nyimbo nyingine ni expired. Domondi hana jipya!
Timu gani hizo Mkuu? Mimi sina upande wa kudumu kuhusu jambo loloteToka ujiunge kwenye upuuzi wa hizi timu umepoteza kabisa uwezo wako wa kuchambua mambo...
Kipi kuhusu Diamond na Zari ambacho wasomi na watoto wa kishua msichokifanya?! Huko Masaki, Oysterbay, Mbezi Beach, Mikocheni wanaume huwa hawazai nje ya ndoa wakati na kwenyewe kumejaa wazee wahasherati kila mtaa huku wengine ni PhD Holders na machapisho kedekede!!!Ninaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????
Hoja yako hasa ipi?! Tusiitilie maana kwavile orodha inaongozwa na Diamond, au?! Ulitaka iongozwe na nani ndipo itiliwe maanani?! Beyonce? Taylor Swift? Drake? Cardi B?Yaani hiyo Orodha inayoongozwa na Domondi wewe unaitilia maanani? Hebu tazama nyimbo zilizopo hapo na utajua kuwa kuna nyimbo nyingine ni expired. Domondi hana jipya!
Seduce Me ipo #64, jirani na Ukimuona ya miaka kadhaa iliyopita ambayo ipo #66Wa seduzi namba ngapi?
ukileta kwa upande wa Tanzania unitagNgoma yake mpya hallelujah, aliyo washirikisha morgan heritage inashika namba moja iTunes kwa mauzo ikifatiwa na love you die aliyoshirikishwa na patoranking kutoka nigeria.![]()
Wewe ni mmoja kati ya watu makini sana humu jukwaani..!Yaani hiyo Orodha inayoongozwa na Domondi wewe unaitilia maanani? Hebu tazama nyimbo zilizopo hapo na utajua kuwa kuna nyimbo nyingine ni expired. Domondi hana jipya!
Hahahaaaa team hazijawahi muacha mtu salamaWewe ni mmoja kati ya watu makini sana humu jukwaani..!
Usijishushia heshima yako tafadhali..!!!
PointWewe ni mmoja kati ya watu makini sana humu jukwaani..!
Usijishushia heshima yako tafadhali..!!!
Haihusiani na madaNinaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????
Shabikia mziki achana na maisha ya watu kwann lkn nyie wa bongoNinaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????