General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
nini maana ya msanii?Shabikia mziki achana na maisha ya watu kwann lkn nyie wa bongo
Au sio kioo cha jamii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini maana ya msanii?Shabikia mziki achana na maisha ya watu kwann lkn nyie wa bongo
Rudisha cm kwa boss ulale mkuunini maana ya msanii?
Au sio kioo cha jamii?
Hujajibu swali, ukijibu nitarudisha!!Rudisha cm kwa boss ulale mkuu
Ivo ww ni me au ke?Hujajibu swali, ukijibu nitarudisha!!
Vinginevyo wewe ni Mjinga.
Teh tehMtaongea yote mwaka huu.....mmeshikwa pabaya round hii
MI nadhan sababu kubwa ni exposure! Wakenya wengi sana wapo abroad wakati Watanzania walioko huko sidhani kama wanafika angalau nusu ya Wakenya waliopo huko!!!wakenya wananunua sn nyimbo iTunnes sio wabongo wazee wa kupenda vya bure
True sayingMI nadhan sababu kubwa ni exposure! Wakenya wengi sana wapo abroad wakati Watanzania walioko huko sidhani kama wanafika angalau nusu ya Wakenya waliopo huko!!!
Sasa hawa wakiwa kule abroad, hakuna ujanja ujanja sana! Wakitaka hit tracks za East Africa lazima waingie iTune! Na ndio maana, hata ukiangalia orodha ya wasanii wa Afrika wanaouza sana iTune ni wale kutoka nchi ambazo zina diaspora wengi kama vile Nigeria na South Africa!