Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hao majamaa noma aisee,,wakirudi bongo full andasiumenikumbisha safar moja nimeenda boda ya tarakea,kuna wahuni wamening'iniza mirungu upande wa Kenya halaf wanaishi bongo yani mtu akitaka wanavuka wanamuuzia anasaga huko huko halaf anaingia bongo yuko safi askari hawana cha kufanya,halikadhalika na pombe hivyo hivyo wamekataza kuuza mchana but mida wote watu wako njwiii kumbe wanaenda kulewea kenya wanarudi ardhi ya TZ washapendeza na askar wanakodoa tu hahahahah
umenikumbisha safar moja nimeenda boda ya tarakea,kuna wahuni wamening'iniza mirungu upande wa Kenya halaf wanaishi bongo yani mtu akitaka wanavuka wanamuuzia anasaga huko huko halaf anaingia bongo yuko safi askari hawana cha kufanya,halikadhalika na pombe hivyo hivyo wamekataza kuuza mchana but mida wote watu wako njwiii kumbe wanaenda kulewea kenya wanarudi ardhi ya TZ washapendeza na askar wanakodoa tu hahahahah
Hahaha huo wimbo leo wabunge walikuwa wanauimbaKama inavyofahamika kwamba hivi karibuni baraza la sanaa Tanzania (BASATA) liliufungia wimbo wa "Mwanza" ulioimbwa na mwanamuziki Diamond kutokana na maneno ya matusi aliyoyangiza makusudi kwenye wimbo huo..katika kuufungia wimbo huo BASATA walieleza wazi (kama inavyoonyesha barua ambatanishi) kuwa msanii Diamond hatakiwi kuutumia huo wimbo huo tena kwa vyovyote vile na vyombo vya habari pia vilionywa visiutumie kamwe lakini katika hali ya kushangaza jana usiku akiwa jukwaani nchini Kenya aliuimba huo wimbo...Swali je wapi Diamond anapata kiburi cha kutofuata masharti ya BASATA.. Natumai kwa dharau hizi alizoonyesha BASATA watamfungia si chini ya miezi sita kufanya shoo zake tena waanze kesho...
Sana tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nasikia Leo wabunge wakiongozwa na naibu spika walikuwa wakicheza hiyo nyimbo.
Sasa washitaki na hao wabunge kwa basata.
Fanya ya kwako roho mbaya haisaidii
Zichapwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unatakaje sasa mkuu!
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kenya wakiruhusu bhangi itakuwa rahaa...unavutia kule unavuka mpaka unakuja bongo
yani noma full vituko.Hahahaha hao majamaa noma aisee,,wakirudi bongo full andasi
Itakuwa BASAKE badala ya BASATA na sio KASATA Mkuu... Hahahahaa!!Aisee kuna watu mambumbumbu yani unaanzisha uzi serious kuzungumzia sheria za nchi nyingine kabisa.
Labda kaidharau KASATA ila sio BASATA.
Mkuu usiwe na kichwa kigumu kuelewa BASATA ni kwajiri ya Tanzania.Siku nyingine usikurupuke kujibu tu thread bila kusoma kwa undani barua ya BASATA haikuwa na mipaka alipigwa marufuku kuutumia popote...hata yeye aliomba msamaha kwa kukili kuwa wimbo una matusi wala hawezi imba mbele ya wazazi wake..hilo linatosha kumchukulia adhabu