Diamond anapata wapi kiburi cha kuidharau BASATA na kuimba wimbo uliopigwa marufuku?

Hahahaha hao majamaa noma aisee,,wakirudi bongo full andasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kenya wakiruhusu bhangi itakuwa rahaa...unavutia kule unavuka mpaka unakuja bongo
 
Hahaha huo wimbo leo wabunge walikuwa wanauimba
 
Inaweza ikawa ni makosa nchini kwako ila ni ruksa nchi ya mwingine...


Mfano bangi hii hii ambayo ni marufuku nchini kwako, ila nchi zingine ruksa...


Cc: mahondaw
 
Mkuu nasikia Leo wabunge wakiongozwa na naibu spika walikuwa wakicheza hiyo nyimbo.
Sasa washitaki na hao wabunge kwa basata.
Fanya ya kwako roho mbaya haisaidii
Sana tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiukweli ule wimbo haufai kimaadili lakini nani anajali!
Kinachoangaliwa ni kiwa hajamtaja kiongozi wa serikali kwa kimkosoa.
Maadili hayana mpango alimradi muimbaji asiwe na rikodi ya upinzani wa kukosoa.

Watu wanalinda wanalinda maslahi na vyeo vyao sio maadili yasiyo na mpango kwao.
 
Huu wimbo wa MWANZA huku mtaani unapigwa kila siku aisee,mpaka huwa najiuliza inamaana hawa watu hawafahamu kama huu wimbo umefungiwa!?
Ukipita barabarani,bodaboda wanaupiga kama hawana akili nzuri!
Kwenye vibanda vya kuingiza/kurusha nyimbo wanaupiga kama hawana akili nzuri!
Kuna nyumba hapa mtaani kwetu wana kawaida ya kuzima umeme mchana na kuwasha jioni,basi umeme ukiwashwa tu,utasikia wimbo wa MWANZA unakiki kwa spika.
Tena kuna wakati huwa ninapishana na vitoto vidogo kabisa hapa mtaani kwetu vinaimba huu wimbo.
BASATA wajipange aisee,huu wimbo umewashinda nguvu.
 
Aisee kuna watu mambumbumbu yani unaanzisha uzi serious kuzungumzia sheria za nchi nyingine kabisa.

Labda kaidharau KASATA ila sio BASATA.
 
Aisee kuna watu mambumbumbu yani unaanzisha uzi serious kuzungumzia sheria za nchi nyingine kabisa.

Labda kaidharau KASATA ila sio BASATA.
Itakuwa BASAKE badala ya BASATA na sio KASATA Mkuu... Hahahahaa!!
 
Mkuu usiwe na kichwa kigumu kuelewa BASATA ni kwajiri ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…