Diamond anapata wapi kiburi cha kuidharau BASATA na kuimba wimbo uliopigwa marufuku?

Issue yao ni tofauti hii ilikuwa ni burundi..aliopiga huo wimbo ndio afanyiwe uchunguzi nani kamsambazia kama ni diamond basi sheria ichukue mkondo wake...

Haya mkuu usijichoshe chukua hiyo sheria tuone mkondo wake maana unakaukiwa kuongea as if akiimba watu wanapungukiwa damu
 
Nenda kawaulize team N.S walikuwa wanaucheza pia hyo mziki!
Uliza swali lingine?

Ova
 
Issue yao ni tofauti hii ilikuwa ni burundi..aliopiga huo wimbo ndio afanyiwe uchunguzi nani kamsambazia kama ni diamond basi sheria ichukue mkondo wake...
Sasa wabunge lazima wanaucheza wewe huku unanuna? Kufa tuzike!!
 
Nyege ni kunyegezana

By William Ruto
 
atajua kuwa hajui
 
Asante BASATA kwa kusikia kilimo chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…