Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

Mbona mingi huwa inaonyeshwa hata mwinyi alikua muislam ujue
Unaongelea fuba hapo jombaa, si ajabu hata familia ya huyo Dida hawajataka live coverage, si unajua misiba ya kiislam hainaga mbwembwe ni dua na chepe tu.
 
mambo mengine sio ya kujifanyia tu sio mleta mada unalaumu tu Pasi na kujiuliza je,familia imetoa ruksa na imeridhia vp kama familia ya marehemu ndio imetaka hivyo iwe kimya kumbuka pia dida ni muislam..tuheshimu faragha za familia za watu wao ndio wenye kauli na maamuzi mambo yaende vp
 
Back
Top Bottom