Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida.

Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
Akifanya ivo sasa kila msiba uwe live itakuwa Ndio nini?
Nenda ww kaurushe Msiba live kwa simu yako.
 
Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida.

Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
Ulitaka ili ufuatilie msiba kwa njia ya tv, au?!
 
Sema tusilalamike Sana hatuwezi kujua office itatoa nini na nini ambacho kitaenda katika familia ya marehemu.

MTU akifa jambo muhimu la kumfanyia ni kumzika tu.
 
Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida.

Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
Live inasaidia nini
 
Unaongelea fuba hapo jombaa, si ajabu hata familia ya huyo Dida hawajataka live coverage, si unajua misiba ya kiislam hainaga mbwembwe ni dua na chepe tu.
Sio kweli misiba kuoneshwa sio mbwembwe ni tamaduni za din acha unafiki mbona mengine ya din ya kiislam hawafati?!!!! Wawe wanashinda na kanzu basi coz ndio utamaduni wao huo mengine sio yao kabisa
 
Huwa unaangalia misiba inayooneshwa??
Mbwembwe hua ni nyingi, kuaga, risala na watu kadhaa waongee hapo ni kabla marehemu hajapumzishwa na vitu kama hivyo.

Na hao mara nyingi huwa ni viongozi au watu mashuhuli.

Dida hakua na umashuhuli huo, mbwembwe za nini.
 
Hapo upo sahihi ila usiite misiba wanayoaga ni mbwembwe sio kweli coz mfano upande wa waislam mimi sio muislam hawaagi misiba yao
 
Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida.

Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
Ili iweje ?? Ikiwa kive ndio atafufula ??
 
Back
Top Bottom