Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hawaagi watu wasio mashuhuli ,wengine wanaagwa jombaa Mwinyi si alitembezwa maeneo kibao au unaongelea kuagwa kwa kufunua jeneza(hilo waislam hawafanyi).Hapo upo sahihi ila usiite misiba wanayoaga ni mbwembwe sio kweli coz mfano upande wa waislam mimi sio muislam hawaagi misiba yao