Shikamoo Ma'Mkwe,,Samahani..!!Ulimaanisha "Kudhamini "kama ilivyo hapo juu,,Au "Anakuthamini"kama ambavyo imeniwia kwa Fikra,,Maono na mtazamo wangu?Mwajiri anakudhamini ukiwa na afya njema tu.
Unaongelea fuba hapo jombaa, si ajabu hata familia ya huyo Dida hawajataka live coverage, si unajua misiba ya kiislam hainaga mbwembwe ni dua na chepe tu.
Vipi kaonekana msibani maana jamaa ni kama hapatani na kwenda msibani
Umesahau kukamuliwa kinyyessiUnaongelea fuba hapo jombaa, si ajabu hata familia ya huyo Dida hawajataka live coverage, si unajua misiba ya kiislam hainaga mbwembwe ni dua na chepe tu.
Ile siku ya msiba nilimuona akiwa na akina Chama + Musonda wakiwa Zambia, nadhani alikuwa na shoo Zambia au Zimbabwe, kwahiyo msiba ulitokea wakati keshasafiri.Vipi kaonekana msibani maana jamaa ni kama hapatani na kwenda msibani