Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Oct 6, 2024 #41 chokodari said: Hapo upo sahihi ila usiite misiba wanayoaga ni mbwembwe sio kweli coz mfano upande wa waislam mimi sio muislam hawaagi misiba yao Click to expand... Hawaagi watu wasio mashuhuli ,wengine wanaagwa jombaa Mwinyi si alitembezwa maeneo kibao au unaongelea kuagwa kwa kufunua jeneza(hilo waislam hawafanyi).
chokodari said: Hapo upo sahihi ila usiite misiba wanayoaga ni mbwembwe sio kweli coz mfano upande wa waislam mimi sio muislam hawaagi misiba yao Click to expand... Hawaagi watu wasio mashuhuli ,wengine wanaagwa jombaa Mwinyi si alitembezwa maeneo kibao au unaongelea kuagwa kwa kufunua jeneza(hilo waislam hawafanyi).
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Oct 6, 2024 #42 Kwani wasafi ni ya diamond? Yule jamaa wa mawingu hawezi akakubali swala hilo.