Zetu wanazo Lakin zao hatunaHii habari kila mtu anayo iwe live au moyoni,lakini wanaijua,na ndio rekodi imeshawekwa kuivunja mtz mwingine HAIWEZEKANI NA KAMA IKIWEZEKANA BASI VITUKUU VYETU. Kwahiyo watangaze wasitangaze habari wanayo.
Hata mie nashangaa au JF sio chombo cha habari au alitaka itangazwe sherehe ya kiserikali watu wapumzike ili kupata nafasi nzuri ya kuangalia?.Acheni maneno pigeni muziki.mmeshamtangaza Jf imetosha!
mnataka nini sasa
Povu la nini ?
Si wewe una mtangaza hapa au hiki sio chombo Cha habari?
asante sana ChibuUtadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
team kiba utawajua tu,wanaangalia neno negative katika full positive story.LOLKwanini unaamini hatakuja kutokea mtanzania mwingine akafanya hivyo? Nini kinakufanya uamini hivyo?
Tungejiuliza kwanza kwanini timu yetu haipo huko nadhani hilo ndio lingekuwa jambo la msingi. Hata vyombo vyote vya habari duniani vinajadili timu washiriki na sio watumbuizaji. Wapo watu wanaona anatumbuiza lakini hata hawajiulizi ni nani na anatoka wapi kwani sio kipaumbele cha hayo mashindano.
Ukweli mtupu na unauma. Hata huyo waziri mhusika naye kala kobisi. Watanzania tuache roho korosho na unafiki.Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Kwanini unaamini hatakuja kutokea mtanzania mwingine akafanya hivyo? Nini kinakufanya uamini hivyo?
Wewe siwezi hata kukujibu wewe.team kiba utawajua tu,wanaangalia neno negative katika full positive story.LOL
Aisee haya ni zaidi ya mahaba jamaa.Kwa sababu wabongo hawawezi kukubali kufanya tena makosa ya kumuacha mswahili mwenzao afike hapo. Diamond ni kudra za Mwenyezi Mungu tu zimemfikisha hapo wabongo washamaliza silaha zao zote.
Waandishi wa Tanzania utabiri wa mtoto Wa Shehe Yahya ni muhimu kuliko watu wanaoitangaza nchi Kimataifa.Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Kwani jf ni nini? UshamalizaUtadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Team yake vipi? mengine ayataka mwenyeweUtadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
bora usijubu coz uko negative for this positive threadWewe siwezi hata kukujibu wewe.
What is team Kiba? Nayajua mimi hayo? Usichanganye kila mtu na kufuata mkumbo kwenu huko
Tanzania zaidi ya wasafi wenyewe na fans wa Diamond.
hakuna anaempenda Diamond
Media zote na presenter wao wote wanafiki.
hapo angekua msanii mwingine wa kawaida ingekua habari.
lakini uzuri Diamond ni mkubwa kuliko Media.[emoji7]
labda wazime mitandao ya kijamii.