Diamond anatumbuiza ufunguzi AFCON, vyombo vyetu vya habari kimyaa

Hii habari kila mtu anayo iwe live au moyoni,lakini wanaijua,na ndio rekodi imeshawekwa kuivunja mtz mwingine HAIWEZEKANI NA KAMA IKIWEZEKANA BASI VITUKUU VYETU. Kwahiyo watangaze wasitangaze habari wanayo.
Zetu wanazo Lakin zao hatuna
 
Povu la nini ?
Si wewe una mtangaza hapa au hiki sio chombo Cha habari?

povu linakutoka wewe huko chini ebu jitazame vizuri. wanawake kama nyinyi ndio maana hamuolewi roho mbaya kama sura yako
 
AFCON yenyewe imekuwa kama Dr. Mwaka Ndondo Cup ndio maana hakuna anayeshtuka na hiyo shoo.......AFCON ilikuwaga enzi hizo za kina JayJay Okocha, Patrick Mboma, Taribo west, Julius Agahowa, Victor Ikpeba, Hosam Hassan n.k.....AFCON ilikuwa na Mzuka kuliko Uero....Hata hivyo naunga mkono hoja
 
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.

Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.

Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.

Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
asante sana Chibu
 
Tungejiuliza kwanza kwanini timu yetu haipo huko nadhani hilo ndio lingekuwa jambo la msingi. Hata vyombo vyote vya habari duniani vinajadili timu washiriki na sio watumbuizaji. Wapo watu wanaona anatumbuiza lakini hata hawajiulizi ni nani na anatoka wapi kwani sio kipaumbele cha hayo mashindano.

diamond angekuwa ni mkenya na ndio anapata mashavu kama haya mngeona muziki wake. wangemtangaza dunia yote ingekoma lakini ndio hivyo bahati mbaya katokea nchi ya wenye roho za kwa nini yeye tu kila siku anajifanya yeye ndio anajua sana sasa tunataka mwingine ili tumuonyeshe tuna nguvu ya kumrudisha kwenye maisha ya tandale
 
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.

Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.

Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.

Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Ukweli mtupu na unauma. Hata huyo waziri mhusika naye kala kobisi. Watanzania tuache roho korosho na unafiki.
 
Kwanini unaamini hatakuja kutokea mtanzania mwingine akafanya hivyo? Nini kinakufanya uamini hivyo?

Kwa sababu wabongo hawawezi kukubali kufanya tena makosa ya kumuacha mswahili mwenzao afike hapo. Diamond ni kudra za Mwenyezi Mungu tu zimemfikisha hapo wabongo washamaliza silaha zao zote.
 
team kiba utawajua tu,wanaangalia neno negative katika full positive story.LOL
Wewe siwezi hata kukujibu wewe.

What is team Kiba? Nayajua mimi hayo? Usichanganye kila mtu na kufuata mkumbo kwenu huko
 
Kwa sababu wabongo hawawezi kukubali kufanya tena makosa ya kumuacha mswahili mwenzao afike hapo. Diamond ni kudra za Mwenyezi Mungu tu zimemfikisha hapo wabongo washamaliza silaha zao zote.
Aisee haya ni zaidi ya mahaba jamaa.

Safi lakini.
 
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.

Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.

Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.

Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Waandishi wa Tanzania utabiri wa mtoto Wa Shehe Yahya ni muhimu kuliko watu wanaoitangaza nchi Kimataifa.
 
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.

Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.

Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.

Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Kwani jf ni nini? Ushamaliza
 
Team yake vipi? mengine ayataka mwenyewe
 
kwani kuna chombo cha habari cha hapa nchini mfano TBC,CLOUDS,STARTV,nk wanarusha hayo mashindano ya afcon 2017 live au wanatangaza tu matokeo na ratiba sasa Diamond hapo anaingiaje?
 
Tanzania zaidi ya wasafi wenyewe na fans wa Diamond.
hakuna anaempenda Diamond
Media zote na presenter wao wote wanafiki.
hapo angekua msanii mwingine wa kawaida ingekua habari.

lakini uzuri Diamond ni mkubwa kuliko Media.[emoji7]
labda wazime mitandao ya kijamii.

Bado hajafikia level ya kuwa mkubwa kukiko media, mfano tu show yake ya wasafi kutwaliwa na Ruge na clouds fm na hana ubavu wa kuwakatalia kitu clouds ...
Hata tuzo za EATV ni hao clouds ndo walimkataza kushiriki

Kwahiyo Diamond kwa clouds ni sawa na paka mbele ya mbwa
 
Tuwekeeni hapa kichupa cha kutumbuiza kwake basi kama ni kweli kabla hatujatokwa povu buree!
 
Back
Top Bottom