Diamond angalia usirudie kosa hili tena kwenye biashara yako ya muziki.

Kumbe tupo wengi aachane na lugha ya malkia bwana mi hata sikuelewa ulivotoka nikauangalia mara moja sijauona tena

Huu wimbo ulikosa cha kuubeba! Hadi sasa sijaona sababu ya yeye kutoa nyimbo mbili kwa mkupuo.
 
Ni kweli haina haja kutoa mkupuo wa nyimbo tena huo wa kiingereza ndo kabisa sioni ulazima huo kwani anakimbizwa kutoa mana moja ipate air time huu wa kiswahili umebamba soko la nyumbani na Africa Mashariki kwa sababu ni watu wanaelewa soko nilikua juu pia nyumbani kwanza ndo vzuri then ziende outside ya mashariki kama West Africa
 
Hahaha kweli nimeamini sio kwamba hayasikiki, watu hawaelewi...

Pale hajasema Ooh My God, kasema NOMA eeyaah..!! shake your bum bum....Your bum bum....

Kiukweli maneno aliyo tamka hasikii swala sio kuelewa mbona watu wanaelewaga nyimbo za p square yanaskika hata ya kina Maria Carey hakubali tu kameza kingereza basi next time arekebishe swala sio kuelewa hapo
 
Huu mdogo mdogo hata wazungu wanaupenda kabisa! Mi nafikiri alishindwa kujiamini!
 
Hahaha kweli nimeamini sio kwamba hayasikiki, watu hawaelewi...

Pale hajasema Ooh My God, kasema NOMA eeyaah..!! shake your bum bum....Your bum bum....

Kwa hiyo wewe unaona alihitaji kutoa wimbo wa namna hii ili kuteka soko la kumataifa?
Hata hivyo hapo ulipo mrekebisha mwenzio ni ushahidi kuwa maneno hayasikiki vyema ndio maana kuna mkanganyiko kwa kile kilicho tamkwa!

Na kwenye huo mstari kila mtu kasikia chake na wewe umesikia hivyo!
Hapo inaonesha swala sio kuelewa maana bali kusikia kilicho tamkwa!
 
Kiukweli maneno aliyo tamka hasikii swala sio kuelewa mbona watu wanaelewaga nyimbo za p square yanaskika hata ya kina Maria Carey hakubali tu kameza kingereza basi next time arekebishe swala sio kuelewa hapo

Huyo ameshachanganya swala la maana na matashi
 
kabla sijaifungua thread nilijua utakuwa umezungumzia suala hili na ni kweli!

Ni vyema kila wimbo kutoka kwa wakati wake ili upate attention inayostahili. Haijalishi ni lugha gani imetumika (ingawa ni kweli pia kuna mapungufu makubwa kwenye lugha iliyotumika) ni vyema kila wimbo upate nafasi ya kusikilizwa. Ndio maana haipendezi kutoa wimbo mpya wakati mwingine bado unakamata, itakuwa kuushusha kabla haujachokwa.

Ushauri mzuri, kazi kwake!
 
hahah! lakini watu tunatofautiana kweli...

Mbona me naupenda na kuulewa sana huu bum bum kuliko mdogo mdogo?

Anyway, It is true kwamba huu wimbo haukupata reception nzuri kama alivyotarajia lakini bado kwangu na baadhi ya watu ni wimbo mzuri....

....eeiah eiiah,,, It's Iyanya From Nigeria, na Rafiki from Tanzania (Diamond)................

Huo wimbo napendaga beat... na pale kwa shake your bum bum kwingine kote sielewagi
 
Neno-----
 
Nani kakwambia Bum bum imebuma? Hiyo ngoma ni kali sana kuliko ata kitorondo ni haujatangazwa vya kutosha tu. Pengine ni strategies tu ila utakuja kufanya vizuri sana akiupromoti vizuri haswa internationally.
 
Huo wimbo napendaga beat... na pale kwa shake your bum bum kwingine kote sielewagi

Pengine pamoja na mapungufu ya huu wimbo ungeweza kukubalika kama ungepewa nafasi na promo! Kosa ni kudrop nyimbo mbili
 
hahah! lakini watu tunatofautiana kweli...

Mbona me naupenda na kuulewa sana huu bum bum kuliko mdogo mdogo?

Anyway, It is true kwamba huu wimbo haukupata reception nzuri kama alivyotarajia lakini bado kwangu na baadhi ya watu ni wimbo mzuri....

....eeiah eiiah,,, It's Iyanya From Nigeria, na Rafiki from Tanzania (Diamond)................

Unayo Sema yanaweza kuwa na ukweli kabisa lakini jiulize wewe ni asilimia ngapi ya mashabiki wake walio uelewa na kuupenda?
 
Nani kakwambia Bum bum imebuma? Hiyo ngoma ni kali sana kuliko ata kitorondo ni haujatangazwa vya kutosha tu. Pengine ni strategies tu ila utakuja kufanya vizuri sana akiupromoti vizuri haswa internationally.

Mkuu matumbo hapo kwenye red umeniuliza swali lakini kwenye green hapo umejijibu mwenyewe maana kama waliamua kuitoa hewani wakaweza kufanyia promotion kitorondo lakini Bum Bum waka hisahau ni wazi wamefeli na wimbo umefeli!

kama umeshindwa kufanyia promo nyimbo Fulani na ulishaitoa hewani basi umefeli kufikiri kabla ya kutenda maana sitegemei mtu kutoa kitu ambacho hawezi au hataki kukipromote muda husika

Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama wangeitoa hii nyimbo baadae, labda ujiulize kwanini waliiachia kama lengo ni kupromote kitorondo kwa muda huu?
Kwanini hawakusubiri baadae kama ilikuwa haihiitajiki muda huu?
 
Last edited by a moderator:

Nionavyo Bum bum haijapelekwa redioni ndio maana, mitandaoni wala haijatangazwa rasmi. Imeachiwa videoni tu. Sasa uwezi jua mikakati yake ni nini lakini ni wimbo mkubwa sana.

Pengine wanataka ipate rotation ya kutosha videoni kwanza.
 
Last edited by a moderator:
katika huo wimbo huwa naskia tu oh my God baasi vingine haskiki kabsaa alimeza sana maneno. Ni vyema aendelee tu kutumia kiswahili

Mwenzenu hata hayo maneno ya kiswahili anayotumia huwa napata shida kuyasikia vizuri.mfano wimbo wa ndogo mdogo.anameza sana maneno.huwa napenda vigoma vya wimbo.
 
Nionavyo Bum bum haijapelekwa redioni ndio maana, mitandaoni wala haijatangazwa rasmi. Imeachiwa videoni tu. Sasa uwezi jua mikakati yake ni nini lakini ni wimbo mkubwa sana.

Pengine wanataka ipate rotation ya kutosha videoni kwanza.

Wote huku ndani wewe tu ndo wabishana na ukweli hata kama bosi wako ukweli ni kwamba ile nyimbo ALICHEMKA
 
Back
Top Bottom