Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Sijui atasona haya uliyomshauri hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie hata radioni sijawahi usikia huo wimbo.niliona video mara moja sikujua hata lugha aliyoimba.
Huu wimbo ulikosa cha kuubeba! Hadi sasa sijaona sababu ya yeye kutoa nyimbo mbili kwa mkupuo.
Hahaha kweli nimeamini sio kwamba hayasikiki, watu hawaelewi...
Pale hajasema Ooh My God, kasema NOMA eeyaah..!! shake your bum bum....Your bum bum....
Ni kweli haina haja kutoa mkupuo wa nyimbo tena huo wa kiingereza ndo kabisa sioni ulazima huo kwani anakimbizwa kutoa mana moja ipate air time huu wa kiswahili umebamba soko la nyumbani na Africa Mashariki kwa sababu ni watu wanaelewa soko nilikua juu pia nyumbani kwanza ndo vzuri then ziende outside ya mashariki kama West Africa
Hahaha kweli nimeamini sio kwamba hayasikiki, watu hawaelewi...
Pale hajasema Ooh My God, kasema NOMA eeyaah..!! shake your bum bum....Your bum bum....
Kiukweli maneno aliyo tamka hasikii swala sio kuelewa mbona watu wanaelewaga nyimbo za p square yanaskika hata ya kina Maria Carey hakubali tu kameza kingereza basi next time arekebishe swala sio kuelewa hapo
hahah! lakini watu tunatofautiana kweli...
Mbona me naupenda na kuulewa sana huu bum bum kuliko mdogo mdogo?
Anyway, It is true kwamba huu wimbo haukupata reception nzuri kama alivyotarajia lakini bado kwangu na baadhi ya watu ni wimbo mzuri....
....eeiah eiiah,,, It's Iyanya From Nigeria, na Rafiki from Tanzania (Diamond)................
kabla sijaifungua thread nilijua utakuwa umezungumzia suala hili na ni kweli!
Ni vyema kila wimbo kutoka kwa wakati wake ili upate attention inayostahili. Haijalishi ni lugha gani imetumika (ingawa ni kweli pia kuna mapungufu makubwa kwenye lugha iliyotumika) ni vyema kila wimbo upate nafasi ya kusikilizwa. Ndio maana haipendezi kutoa wimbo mpya wakati mwingine bado unakamata, itakuwa kuushusha kabla haujachokwa.
Ushauri mzuri, kazi kwake!
hahah! lakini watu tunatofautiana kweli...
Mbona me naupenda na kuulewa sana huu bum bum kuliko mdogo mdogo?
Anyway, It is true kwamba huu wimbo haukupata reception nzuri kama alivyotarajia lakini bado kwangu na baadhi ya watu ni wimbo mzuri....
....eeiah eiiah,,, It's Iyanya From Nigeria, na Rafiki from Tanzania (Diamond)................
Nani kakwambia Bum bum imebuma? Hiyo ngoma ni kali sana kuliko ata kitorondo ni haujatangazwa vya kutosha tu. Pengine ni strategies tu ila utakuja kufanya vizuri sana akiupromoti vizuri haswa internationally.
Mkuu matumbo hapo kwenye red umeniuliza swali lakini kwenye green hapo umejijibu mwenyewe maana kama waliamua kuitoa hewani wakaweza kufanyia promotion kitorondo lakini Bum Bum waka hisahau ni wazi wamefeli na wimbo umefeli!
kama umeshindwa kufanyia promo nyimbo Fulani na ulishaitoa hewani basi umefeli kufikiri kabla ya kutenda maana sitegemei mtu kutoa kitu ambacho hawezi au hataki kukipromote muda husika
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama wangeitoa hii nyimbo baadae, labda ujiulize kwanini waliiachia kama lengo ni kupromote kitorondo kwa muda huu?
Kwanini hawakusubiri baadae kama ilikuwa haihiitajiki muda huu?
katika huo wimbo huwa naskia tu oh my God baasi vingine haskiki kabsaa alimeza sana maneno. Ni vyema aendelee tu kutumia kiswahili
Nionavyo Bum bum haijapelekwa redioni ndio maana, mitandaoni wala haijatangazwa rasmi. Imeachiwa videoni tu. Sasa uwezi jua mikakati yake ni nini lakini ni wimbo mkubwa sana.
Pengine wanataka ipate rotation ya kutosha videoni kwanza.