Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Ama kweli life is how u make it!
Kuna mtoto wa Mbagala anajiita Diamond Platnumz, hana hata cheti cha ufundi mwashi cha VETA lakini mkwanja anaopiga hata Professor anasubiri!
Najaribu kumuwazia vipi angekua na msingi mzuri wa lugha ya Kingereza, ungekuta kafanya kolabo hata na Chris Brown kwa jinsi anavyojituma huyu dogo, na angeshafanikiwa sana. Labda angekua anaishi kwenye villa, ila ndio hivyo tena Mungu hakupi vyote!
Sema ataikumbuka sana elimu siku akigeuka bubu!
N:B>Sisemi msisome eti wote muimbe!
Wewe na masters yako ya Computer Science hata kiwanja, tena unsurveyed land huna, ndio mnaoishia kumponda Diamond wa watu badala ya ku-utilize elimu uliyoipata kwa maendeleo ya watu na ya kwako binafsi...
Dont hate!