Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.

Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]

Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
 
Sa' Binamu ulivyo mbeya na mshakunaku hivi una habari iPhone 12 ina antigossipphonisized and crediblizationapp features ambazo ni maalumu kwa ajili ya ku-detect umbeya, na ikisha detect tu simu inaji-lock for good?!

Wewe bhana na hayo maumbeya yako yanafaa kwa Techno tu.
 
Anavaa boxer ya aina gani vile ?

Tunasubili mrejesho mimi na wenzangu.

IMG_9131.jpg

Hyo hapo , au na size ya uume wake pia unataka kujua?
 
Back
Top Bottom