snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Yani mi ulivomalizia ndo nimechekaaaa.Wanazengo watanipigia ramli wanifuate wanitoe ngeo [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah.
We mtu!!ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mi ulivomalizia ndo nimechekaaaa.Wanazengo watanipigia ramli wanifuate wanitoe ngeo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wanaccm michicha mwiba,ndio mana nchi inapitia kipindi kigumu nuksi zenuHAHAHAHA TAKO LA JUMALOKOLE LITAPATA TABU SANA MAANA NA YEYE ATATAKA 12 KWA HIYO TAKO LAZIMA LIWEKWE REHENI HAHAHHA
FOR JF USE ONLY
Mbona Wiz kid anatumia techoMwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.
Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.
Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.
Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]
Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
Kutoka Samsung kwenda iphone ni upgrade?
Unaijua Samsung vizuri mkuu?
Kwani iyo iPhone 12 ina ATM?Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.