Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.

Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]

Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
Mbona Wiz kid anatumia techo
 
Kutoka Samsung kwenda iphone ni upgrade?

Unaijua Samsung vizuri mkuu?

Alikua hajui kingereza vizuri ndo mana alikua na samsung zina menyu ya kiswahili. Sasa kaelimika ameanza kuongea na SIRI. Upgrade![emoji1531]
 
Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.

Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]

Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
Kwani iyo iPhone 12 ina ATM?

Inazuia UKIMWI

Au

Ina imarisha nguvu za kiume?

Kama haina hayo mambo ina faida gani Sasa?
 
Back
Top Bottom